Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Ardhi wamevumbua nn?Hawezi kuwepo wamevumbua nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ardhi wamevumbua nn?Hawezi kuwepo wamevumbua nini
Hoja haipingwi Kwa hisia Bali Kwa utafiti.Eti TZ+255 vyuo Viko vizuri kuliko Kenya+254, huo ni uongo wa mchana kweupe
Kwani kazi ya Chuo ni kuvumbua tuu? Kuchapisha maandiko yanayotumiwa Duniani hukoHawezi kuwepo wamevumbua nini
Kwani chuo ni udsm tu mkuu. Au ushamba bado unakusumbua mkuuHii post ilitakiwa iwekwe peke yakeUDSM ilikuwa miongoni mwa Vyuo vikuu 5 bora Africa kwa miaka mingi sana. Leo hii UDSM ipo nafasi ya 37 kwa Ubora barani Afrika, SUA nafasi ya 79, Muhimbili nafasi ya 89 na UDOM wanashika nafasi ya 123. Unadhani ni kwanini taasisi zetu za Elimu ya juu zinashuka na kipi Kifanyike?
View attachment 2908100
Lucas mwashambwa
Kama nchi hiki ndio chuo chetu tegemeo, hata sisi ambao hatujasoma hapo lakini kinatuangusha sana. Kinazidi kuporomoka tuu. Hakina tofauti na vyuo vilivyoanzishwa miaka ya 2000. Research ni kitu muhimu kwenye ranking, vyuo vyetu vinafeli sana hapo.UDSM hakuna chuo pale.. ni majengo na mikwara mbuzi miingi.
Wahitimu wa pale hakuna jipya hawana UBUNIFU.
Elimu Ya Tz ni kichekesho sana.