Ukisema bandia una maanisha nini! Kwamba Tanganyika ni kitu ambacho hakipo au ?atika jambo baya sana wakoloni walilotufanyia Africa ilikuwa ni kugawa bara la Africa mezani katika vipande mbalimbali bandia walivyoviita nchi.
Mataifa artificial kwa maana sio raia wenyewe wa mataifa husika waliosababisha mataifa haya kuwepo bali waliamuliwa na watu wa nje wa bara lingine kabisa namna mataifa yao takavyokuwa.Ukisema bandia una maanisha nini! Kwamba Tanganyika ni kitu ambacho hakipo au ?
Okay nimekuelewa. Je huo mchakato wa asili ambao tungetumia ni upi kutengeneza mataifa? Na kwanini unafikiri ingekuwa bora zaidi ya hivi!Mataifa artificial kwa maana sio raia wenyewe wa mataifa husika waliosababisha mataifa haya kuwepo bali waliamuliwa na watu wa nje wa bara lingine kabisa namna mataifa yao takavyokuwa.
DuKatika jambo baya sana wakoloni walilotufanyia Africa ilikuwa ni kugawa bara la Africa mezani katika vipande mbalimbali bandia walivyoviita nchi.
Hili ni jambo ambalo limewatesa sana Waafrika baada ya wakoloni kuondoka. Mataifa yetu yalipaswa yapatikana kwa mchakato wa asili wa sisi wenyewe kujitafuta kama sehemu nyingine duniani, kwa njia hiyo huenda tungekuwa mbali sana leo hii.
Basically Berlin conference ila ya watu weusi tu?Vita au/na makubaliano kati ya makabila/jamii.
Hao wazungu ndio waliowagawa Wamasai katika Kenya na Tanzania, Wanyarwanda katika DRC na Rwanda, Warundi katika Burundi na Rwanda. Nigeria imekuwa taifa kituko kabisa kwa sababu Nigeria Kaskazini na Kusini zinakaliwa na watu tofauti kabisa kimtazamo upande mmoja unatazama kushoto wakati mwingine unatazama kulia, hali ni hivyo karibia nchi zote za Sub-Sahara Africa zilizoachwa na wakoloni.wengi labda hawalielewi hili lkn mengi yanayoitwa makabila leo hii ni artifial kabla ya foreigners kuja hayakuwepo au hawakujiita hivyo at least kwa mfano tu wagogo, wagogo siyo kabila au niseme kabla ya caravan ya utumwa kupita watu wa hilo eneo hawakujiita wagogo hivyo ni matokea ya caravani ya utumwa iliyopita hapo kutokea kongo, kgm-tbr mpaka bagamoyo huo ni mfano tu mdogo na utakuta mifano kama hiyo karibia kila mahali.
you see its even more complicated kwanza Christians hata wametusaidia sana kama ukiniuliza mimi wametutengezea kila kitu na kutuachia nchi yenye kila kitu ni sisi tu tumeshindwa kuitumia walituwekea mipaka ndani yake kuna maziwa, mito, bahari coast line ya tanzagiza ni >1400 km ktk tanga mpaka mtwara, rift valley linapita karibia nusu nzima ya nchi yetu (rift valley is the most fertile area in afrika), walitujengea reli kuunganisha bandari na mikoa karibia yote reli inapita katikati ya nchi ktk mashariki mpaka magharibi kgm, mpaka tzote zimeunganishwa reli , mashariki mpaka kaskazini moshi, arusha zote ziliunganishwa na bandari ya tanga kwa reli, plus form of government kila kitu kipo, bado unataka nini tena?
btw lugha zinatengenezwa na watu na lugha nyingi zilitengenezwa tu, kuna mengi sana hatuelewi ...
Unachosema kinaweza kuwa sahihi sana lakini mataifa yote duniani tofauti na Africa yamepatikana kwa vita tena vya muda mrefu tu.Ingekuwa tofauti sana. Nadhani nchi zingekuwa zimeendelea zaidi. Ukisoma michakato waliyokuwa wanafanya wachagga kabla ya uhuru, ilikuwa ya kusonga mbele hasa. Pia diversity sometimes ni mbaya sana. Watu hawawi na lengo moja kama nchi.
Lakini pengine vita na kuginbania mipaka, maji, na rasilimali kama wanyama zingekuwa juu.
Hao wazungu ndio waliowagawa Wamasai katika Kenya na Tanzania, Wanyarwanda katika DRC na Rwanda, Warundi katika Burundi na Rwanda. Nigeria imekuwa taifa kituko kabisa kwa sababu Nigeria Kaskazini na Kusini zinakaliwa na watu tofauti kabisa kimtazamo upande mmoja unatazama kushoto wakati mwingine unatazama kulia, hali ni hivyo karibia nchi zote za Sub-Sahara Africa zilizoachwa na wakoloni.
Sasa utawalaumu vipi Waarabu kwa kutengeneza makabila unayosema ikiwa hayo makabila baadaye yalikuja kuchanganywa yote kwa pamoja katika Sufuria la kupikia kama kuchanganya mchele, unga wa ugali, mihogo viazi, ngano, ndizi na mtama pamoja?!sawa lkn swali linakuja kabla ya hapo hali ilikuwaje? hakuna ushahidi wowote ule kama kulikuwa na advanced civilized societies, halafu mnasingizia wazungu kila kitu kwa sababu mmedanganywa n communists, kabla ya wazungu kuja arabs walikuwepo na yanyaoittwa makabila mengi yleo hii tanzagiza yalianzishwa na arabs slave traders mfano mwingine wanyamwezi, wanyamwezi kabla ya utumwa hawakujiita hivyo na siyo kabila ni artfial, usiahau muda wazungu waliokaa east afrika haifikia hata miaka 100 hapa kwenye walikaa kama miaka 50 tu wote wajerumani na waingereza, kenya uganda miaka kama 60 tu sasa mtu aliyekaa miaka <100 ndiyo umlaumu kwa kila ktk maisha yako? what abojut 1000 mpaka 5000 years ago? arabs peke yao wamekaa karibia miaka 1000 lkn hamuwalaumu kwa chochote mnakuja kulauma for everything that goes wrong in afrika ingawaje wamekaa miaka 50 tu hapa kwetu? ...