African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

mkuu kwa tangazo lako nipo tbc lkn naona wana yao
tbc 1 ndio walioleta taarifa kuwa wataonyesha mchezo huo moja kwa moja kwa muda uliotajwa. Mimi ni mjumbe tu
 
mbona tbc1 wana yao,wako na mambo mengine.
 
Nmetumbulia mimacho Tbc bt hamna ktu
Wenyewe walitoa tangazo kuwa wataonyesha mchezo huo. Nimeacha kwenda kuangalia EPL ili nishuhudie vijana wetu wakifanya yao,lakini hakuna kitu,wapo kwenye siasa. Nimeudhika,basi tu
 
TP kombe lenu leo msiharibu km Simba na Stella Abidjan
 
Back
Top Bottom