Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
dakk ya 17 bado bila bila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tbc 1 ndio walioleta taarifa kuwa wataonyesha mchezo huo moja kwa moja kwa muda uliotajwa. Mimi ni mjumbe tumkuu kwa tangazo lako nipo tbc lkn naona wana yao
Nmetumbulia mimacho Tbc bt hamna ktu
Dak. 15: TPM 0-0 USM.
Wenyewe walitoa tangazo kuwa wataonyesha mchezo huo. Nimeacha kwenda kuangalia EPL ili nishuhudie vijana wetu wakifanya yao,lakini hakuna kitu,wapo kwenye siasa. Nimeudhika,basi tuNmetumbulia mimacho Tbc bt hamna ktu
Thanks kiongozi uendelee na moyo huohuo wa kutu update
Kwa wale mnaotaka kutazama mtandaoni fungueni link hii ni live kupitia youtube:
www.youtu.be/fBbdztn7pRM
Kwa wale mnaotaka kutazama mtandaoni fungueni link hii ni live kupitia youtube:
www.youtu.be/fBbdztn7pRM
Dk 30
0 - 0
Dak. 39: TPM 0-0 USM.
mbona haifunguki hii link mzee mzima
"asavali"Dak. 24: TPM 0-0 USM
Kwa taarifa Zaidi: TP Mazembe vs USM Alger Live Streaming and TV Listings, Live Scores, News, Videos - November 8, 2015 - CAF Champions League :: Live Soccer TV