Haji Manara ana followers wengi kuliko simba kwaiyo Manara ana mashabiki kuliko simba.Basi kama ni hivyo unaweza kusema kuwa Yanga ina mashabiki wengi kuliko hata Madrid kwa kigezo hicho hicho
Ndio maana nimeuliza imetumika formula gani kupata hiyo idadi??
Bado sijajibiwa hilo swali
MAJINI FOOTBALL CLUBPoleni sana makolowizadi aka robo robo fc. Huku kwenye nbc nako tumewapiga gape ya 10.
Umeamua kujifulahisha madunduga FC aka vyula FC[emoji599] TIMU ZENYE MASHABIKI WENGI AFRIKA
Al ahly.............70million fans
Young Africans..35million fans
Zamalek.......... 30 million fans
Laizer chief .......16million fans
Asec mimosa......15milion fans
Asante kotoko.....10 million fans
Simba ..........10milion fans
Source: African facts zoneView attachment 2905925
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Comparison za followers between Clubs hazipimanishwi na CelebrityHaji Manara ana followers wengi kuliko simba kwaiyo Manara ana mashabiki kuliko simba.
Mbumbumbu akili mliziweka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavikataa ?
Nasubiri majibuHaji Manara ana followers wengi kuliko simba kwaiyo Manara ana mashabiki kuliko simba.
Mbumbumbu akili mliziweka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hoja Mr kolo fc [emoji1]Umeamua kujifulahisha madunduga FC aka vyula FC
Yeah....sisi wanazuoni hatuamini hivyoUnavikataa ?
Majini Fc katika ubora wao..
Kwa hizi takwimu inawezekana na wewe ni mwananchi by originMajini Fc katika ubora wao..
No sensa gaitambui uwepo wa such creaturesMashabiki hapo ni 5m halafu 30m ni majini.
Makolo wanapinga Hadi takwimu [emoji23][emoji23]Kuna Watu Wanaweweseka
Hii imekaa kinyama sana.Real Madrid na Barcelona zinazotajwa kuwa na mashabiki wengi ndio timu ambazo kwenye social media zinaongoza kwa idadi kubwa ya followers.
Lakini hiki chanzo chako kimekuja kuonesha tofauti kuwa Club inayoongoza kwa idadi kubwa ya followers ndio timu ndogo kabisa kwa idadi ya mashabiki dhidi ya timu yenye followers wachache.
Chanzo chako hakijaeleza kimetumia formula gani kupata hiyo idadi ya mashabiki kwasababu katika hali ya uhalisia ukasema utoe takwimu nje ya followers basi inabidi ifanyike sensa ya mtaa kwa mtaa.
Labda watuambie hiyo sensa ilifanyika lini na kwanini mtaani kwetu hawajapita?
Upupu huo...Kwa hizi takwimu inawezekana na wewe ni mwananchi by origin
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Makolo wanapinga Hadi takwimu [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app