joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mwaka gani? Au unachanganya na Abiola, maana haijawahi kuwa tournament iliyo andaliwa na CAF,yule mtangazaji wakati anaongea amesema Yanga ndio timu ya kwanza kuvaa medali kwa michuano iliyo andaliwa na CAF na commentator wa mbele huwaga kabla kushika kipaza, huwaga na rekodi zote kwenye mpango kazi wake.Sawasawa
Hiyo link kama umeisoma utakubaliana na mimi kuwa Confederation Cup ni muunganiko wa michuano miwili Caf Cup na Winners Cup
Kwenye hiyo michuano miwili, Simba amefika fainali kwenye CAF Cup
Mashindano yakiyokuwa yanaanziahwa huku yalikuwa yanafata mfumo au maboresho yanayofanyika huko Ulaya.
Hilo Winners Cup ambalo tulikuwa tunacheza sisi na Ulaya pia lilikuwep
Kwa hiyo michuano mliyofika fainali nyie ni michuano ambayo imekuwa upgraded
Ni sawa na Club Bingwa Ulaya ambayo awali ilikuwa ikiitwa European Cup ukamkataa Bingwa wa muda wote Madrid ukasema kachukua UEFA champions league mara 8 tu kwasababu kabla ya 1992 hakukuwa na UEFA champions league