African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Ndo useme hayo uliyofika final ni yapi, km ni CL au CC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa unashindwa kutaja michuano uliyofika final, woiiiiiih
Michuano uliyochoma uwanja wa watu ili ufike nusu fainali basi Yanga kafika hadi fainali sio mingine ni Caf confederation cup.
 
Simba anaenda kucheza mechi 2 kukamilisha ratiba
Hii ni aibu kubwa kwa Tanzania na wanaSimba, Nina uhakika 100% CAF wanaitumia michuano hii kuipaisha Al Ahly yao maana Al Ahly wataanza kuikanda Simba first leg 7-0, second leg 5-0, na kusifiwa duniani ni timu kali kisha wataendelea kupunguza dozi kwa timu zingine hadi kubeba kombe lao!

CAF wanajua Simba timu hawana na kombe hawana Wana mbao tu (ngao) ila wana mdomo sana na promo zao hufika hadi Mars kupitia sayari ya Pluto , Sasa mechi hizo mbili Al Ahly wataipasua Simba ndani nje na timu yao itapaa kwakuwa kupitia kelele za Kolokoloni Dunia nzima itajua kuhusu hizo mechi mbili maana Simba watajitangaza mno mitandao yote, Simba michuano hii watakuwa kama Mandonga, watasema ukinipiga nimekupiga, nikikupiga nimekupiga, watajisifu Simba Taifa kubwa tumecheza mechi mbili Super League Africa ni sifa kubwa kwetu hata kama tumepiga papatu papatu yetu na kutoambulia goli lolote ila tumekufa kiume kwa Al Ahly timu kubwa, watasema bora sisi maana utopolo hawamo hata ndondo cup!

CAF watu wa-bad sana, sijui kwanini wameipanga Thimba na Vigogo wa boli Africa Al Ahly, lengo ni kuidhalilisha Simba inayoenda kusindikiza mamba kina Al Ahly, Wydad!!

Mi nimekaa pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri mbumbumbu fc waje kushtaki wamefurushwa Africa super cup kwa Aggregate Al Ahly 12 - Simba 0! Sisi Utopolo tutawatetea kama kawaida kupitia kucheza fainali klabu bingwa Africa!
 
CAF wanajua Simba timu hawana na kombe hawana Wana mbao tu (ngao) ila wana mdomo sana na promo zao hufika hadi Mars kupitia sayari ya Pluto , Sasa mechi hizo mbili Al Ahly wataipasua Simba ndani nje na timu yao itapaa kwakuwa kupitia kelele za Kolokoloni Dunia nzima itajua kuhusu hizo mechi mbili maana Simba watajitangaza mno mitandao yote, Simba michuano hii watakuwa kama Mandonga, watasema ukinipiga nimekupiga, nikikupiga nimekupiga, watajisifu Simba Taifa kubwa tumecheza Super League Africa ni sifa kubwa kwetu hata kama tumepiga papatu papatu yetu na kutoambulia goli lolote ila tumekufa kiume kwa Al Ahly timu kubwa, watasema bora sisi maana utopolo hawamo hata ndondo cup!

CAF watu wa-bad sana, sijui kwanini wameipanga Thimba na Vigogo wa boli Africa Al Ahly, lengo ni kuidhalilisha Simba inayoenda kusindikiza mamba kina Al Ahly, Wydad!!

Mi nimekaa pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri mbumbumbu fc waje kushtaki wamefurushwa Africa super cup kwa Aggregate Al Ahly 12 - Simba 0! Sisi Utopolo tutawatetea kama kawaida kupitia klabu bingwa!
CAF wajanja saanaaa
 
Hii ni aibu kubwa kwa Tanzania na wanaSimba, Nina uhakika 100% CAF wanaitumia michuano hii kuipaisha Al Ahly yao maana Al Ahly wataanza kuikanda Simba first leg 7-0, second leg 5-0, na kusifiwa duniani ni timu kali kisha wataendelea kupunguza dozi kwa timu zingine hadi kubeba kombe lao!

CAF wanajua Simba timu hawana na kombe hawana Wana mbao tu (ngao) ila wana mdomo sana na promo zao hufika hadi Mars kupitia sayari ya Pluto , Sasa mechi hizo mbili Al Ahly wataipasua Simba ndani nje na timu yao itapaa kwakuwa kupitia kelele za Kolokoloni Dunia nzima itajua kuhusu hizo mechi mbili maana Simba watajitangaza mno mitandao yote, Simba michuano hii watakuwa kama Mandonga, watasema ukinipiga nimekupiga, nikikupiga nimekupiga, watajisifu Simba Taifa kubwa tumecheza mechi mbili Super League Africa ni sifa kubwa kwetu hata kama tumepiga papatu papatu yetu na kutoambulia goli lolote ila tumekufa kiume kwa Al Ahly timu kubwa, watasema bora sisi maana utopolo hawamo hata ndondo cup!

CAF watu wa-bad sana, sijui kwanini wameipanga Thimba na Vigogo wa boli Africa Al Ahly, lengo ni kuidhalilisha Simba inayoenda kusindikiza mamba kina Al Ahly, Wydad!!

Mi nimekaa pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri mbumbumbu fc waje kushtaki wamefurushwa Africa super cup kwa Aggregate Al Ahly 12 - Simba 0! Sisi Utopolo tutawatetea kama kawaida kupitia kucheza fainali klabu bingwa Africa!
Mlisema hivi hivi wakati tumepangiwa na Wydad
 
Huu upangaji wa hizi timu haupo fair kabisa. Ndiyo maana miaka yote timu zitaendelea kubaki hizo hizo.

Ilibidi timu zichanganywe, ama wangeweka ichezwe kwa group stage hata kwa game 1 moja kwa kuchagua viwanja maalum vya kutumia hizo mechi, kisha nusu fainali ndo utaratibu wa hom/away ukaendelea.
 
Survival of the fittest
 
Kutoka 2018 mpaka leo tumekutana mara 4 na Al Ahly

Kashinda mara mbili

Nimeshinda mara mbili.

Na kikosi nilichonacho msimu huu sina wasiwasi wowote na timu yeyote.

Hakuna angle yoyote ambayo simba anamzid au ata kulingana na al ahly mkuu we subilia upigwe utoke muanze porojo za mmecheza ligi ya wakubwa [emoji23][emoji23][emoji23] tunajua icho ndio kituo kinachofwata

Iyo simba ya 2018-2019 na simba hii unaweza kuzilinganisha ata kidogo?
 
Back
Top Bottom