African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Weka reference kutoka kwenye source zao wenyewe haya twende kisomi.Maana mpaka kwenye twitter page yao CAF wamekukataa hujawahi fika nusu fainal ya michuano yoyote ya CAF.
Haukuangalia draw ya upangaji wa plots ungeangalia wala usingesema kuwa hiyo sio reference.

Ulielewa ile twitter?

Ndio maana nakuambia wewe huelewi na tatizo la kutoelewa halipo kwenye lugha.

Unaweza ukaiweka hapa hiyo Twitter tuijadili?
 
Nimetizama draw mwanzo mwisho.
 
Haukuangalia draw ya upangaji wa plots ungeangalia wala usingesema kuwa hiyo sio reference.

Ulielewa ile twitter?

Ndio maana nakuambia wewe huelewi na tatizo la kutoelewa halipo kwenye lugha.

Unaweza ukaiweka hapa hiyo Twitter tuijadili?
Commentator kakukataa na page ya CAF official nao wamekukataa.
64E25CB4-EBB1-4C94-9A59-C836EF5379E6.png

Twende kwa reference tuachane na story za vijiweni.Weka hapa reference.
 
Commentator kakukataa na page ya CAF official nao wamekukataa.
View attachment 2830615
Twende kwa reference tuachane na story za vijiweni.Weka hapa reference.
Umeelewa kilichoandikwa hapo?

Hapo Simba ilikuwa inashiriki michuano gani kati ya Shirikisho au Club Bingwa?

Simba ilisema imefika fainali ya Shirikisho au Club Bingwa?

Ndio maana nilikuambia unasoma bila kuelewa.

Zimba imefika fainali za CAF ambapo kwa hadi ya sasa ni shirikisho.

Kipindi cha hiyo tweet ni Simba akiwa kwenye Club Bingwa. Ni ukweli kuwa Simba hajafika fainali ya Club Bingwa hivyo ni sahihi kwa alichoandika admin wa page ya CAF.

Tatizo limekuwa ni wewe umeshindwa kuelewa.
 
Nimekuwekea video ya yule commentator iki reference shirikisho na nimekuwa nahii iki reference championship.

Hujihelewi sasa huo ukubwa wako unao uzungumzia upo wapi ambao unamzidi Yanga........ maana hata reference huna una kazi ya kuuza chai,maneno mengi kama unafanya kazi kwenye kiwanda cha kanga kitengo cha misemo.
 
To make things clear ngoja nikuulize swali.

Confederation Cup limeanzishwa mwaka gani?
 
Kwani ipo chini ya nani nani?

Level niliyofika mimi ww ushafika?
Ipo chini ya nani ndio jibu la swali gani?

Nimeona kuna sehemu unashindwa kuelewa ndio maana nataka nianze mwanzo.

Naomba uniambie haya mashindano ambayo nyinyi mlifika fainali yalianzishwa mwaka gani?

Na mazingira gani yaliyofanyika mpaka kupata mashindano hayo.
 
Labda ww ndiye uliye shindwa kuelewa.
 
Ipo chini ya nani ndio jibu la swali gani?

Nimeona kuna sehemu unashindwa kuelewa ndio maana nataka nianze mwanzo.

Naomba uniambie haya mashindano ambayo nyinyi mlifika fainali yalianzishwa mwaka gani?

Na mazingira gani yaliyofanyika mpaka kupata mashindano hayo.
2004.

Nimekuletea link kutokea website ya CAF.

Ina historia yote ya michuano iliyo anzishwa na CAF,hamjawahi kufika hatua ya nusu ya michuano yoyote ya CAF.

Haya kazi kwako kusoma husipo elewa hapo basi.
 
Mbona swali langu hujibu?
Nisha kujibu kasome documents ile ya CAF then karudie kile kipande chako dk ya 27,uone jinsi gani ulivyo pwiyanga. Yaani binti anafunga droo ya makundi kwa kuwashukuru wahudhuriaji ww umeelewa vingine.
 
2004.

Nimekuletea link kutokea website ya CAF.

Ina historia yote ya michuano iliyo anzishwa na CAF,hamjawahi kufika hatua ya nusu ya michuano yoyote ya CAF.

Haya kazi kwako kusoma husipo elewa hapo basi.
Sawasawa

Hiyo link kama umeisoma utakubaliana na mimi kuwa Confederation Cup ni muunganiko wa michuano miwili Caf Cup na Winners Cup

Kwenye hiyo michuano miwili, Simba amefika fainali kwenye CAF Cup

Mashindano yakiyokuwa yanaanziahwa huku yalikuwa yanafata mfumo au maboresho yanayofanyika huko Ulaya.

Hilo Winners Cup ambalo tulikuwa tunacheza sisi na Ulaya pia lilikuwep

Kwa hiyo michuano mliyofika fainali nyie ni michuano ambayo imekuwa upgraded

Ni sawa na Club Bingwa Ulaya ambayo awali ilikuwa ikiitwa European Cup ukamkataa Bingwa wa muda wote Madrid ukasema kachukua UEFA champions league mara 8 tu kwasababu kabla ya 1992 hakukuwa na UEFA champions league
 
Back
Top Bottom