African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Mwaka gani? Au unachanganya na Abiola, maana haijawahi kuwa tournament iliyo andaliwa na CAF,yule mtangazaji wakati anaongea amesema Yanga ndio timu ya kwanza kuvaa medali kwa michuano iliyo andaliwa na CAF na commentator wa mbele huwaga kabla kushika kipaza, huwaga na rekodi zote kwenye mpango kazi wake.
 
Wewe sio mzima,hata nikikuuliza huyo demu alicho kiongea dk ya ishirini saba kwa Kiarab alikuwa anamaanisha nini huelewewi.
Ni dakika ya 19 sio 27 kama niliameandika hivyo basi nilighafilika

Sikiliza tena nimejaribu ku screen record hicho kipande lakini output haija catch sauti
 
Abiola ndio nini?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…