African leader taken ill, admitted to city hospital

Hakuna taifa ambalo halina ventilators kwenye ICUs zake. Idadi yake kabla na baada ya mlipuko wa huu ugonjwa ndiyo inatofautiana.

COVID-19 ndiyo ugonjwa pekee ambao wanasiasa wa nchi zetu inabidi wafe na sisi hapa!
Lakini si unaona" hawafi nasi hapa"!
 
The security at Nairobi hospital though today was not normal
 
Sasa tuwaamini kwa lipi? Maana ni juzijuzi mlikuwa hapa jf kuzusha kuwa JPM kashapata chanjo ya Uchina!? Sasa leo tena mmebadilika!
 
Unataka ujue ili iweje?? Itakusaidia Nini..?? Mlipo sema kaenda German kutubiwa mwaka juzi iliwasaidia Nini?? Ukijua itakuongezea kipato..?? Fanya Kazi..
Punguza maumivu utapata heart attack na wewe? Na huko twitter tatizo walilosema ni heart attack kama kipindi kile
 
Mataga wa humu jf saiz Wana cite past similar matukio ku justify madai yao kwamba the man is okay .

Huku ni kujifariji na ku buy time too
 
Only stupid can think this way
 
Hii inaonyesha ni kiasi gani wakenya wanavyomuogopa na kumuheshimu Magufuli, mnafuatilia kila kitu kuhusu yeye
nimemshangaa huyo shoga namna alivyomuandika maguguli.

eti dictator magufuli[emoji16][emoji16][emoji16].mpaka unawaza huo udictator wa magufuli kausikia kwenye tundu lake la haja au wapi!!!!
 
rafiki yake waziri wa maliasili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…