African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

..naomba usome habari nzima utaona kwanini I have my reservations.

..pia BBC wameandika, " Nairobi Hospital also said it could not comment. "

..hiyo response toka kwa Nairobi Hospital ndio inayonipa wasiwasi.

..sasa hivi nasubiri kama Jumapili ataonekana Kanisani.
Jua hilo nijambo nyeti hamna dakitari au kiongozi wa nchi ambae anaweza kujitokeza kuliongelea ila lingekua sio kweli serikali ya Tz au ya Ky zingetoka nakukana hiyo habari hadharani lakini paka sasa hivi zote kimya kwanini?
 
Hawa jamaa walioandika haya Mungu awarehemu! Hivi kweli ktk choice ya hospital Nairobi hospital ni mojawapo? Hiki ndicho naamini ni uvumi tu! Mungu tunaomba uturehemu sisi watanzania wote kwa ujumla! Mungu tunaomba uiponye nchi yetu Tanzania! Mungu tunaomba umrehemu, umponye na kumtunza rais wetu mpendwa Mh Dr JPM na serikali zetu zote! Mungu azidi kuirehemu, kuiponya nchi yetu Tanzania, amen!

..hii habari imetoka mpaka BBC.

..msemaji wa serikali ya Tz anapaswa kuikanusha au kuithibitisha.

Jua hilo nijambo nyeti hamna dakitari au kiongozi wa nchi ambae anaweza kujitokeza kuliongelea ila lingekua sio kweli serikali ya Tz au ya Ky zingetoka nakukana hiyo habari hadharani lakini paka sasa hivi zote kimya kwanini?

" Nairobi Hospital also said it could not comment. "

..hayo majibu ya Nairobi Hospital kwa BBC ndio yananipa wasiwasi.

..but I would still wait until Sunday kuona kama hatatokea Kanisani.
 
According to tired BBC, Lisu is a reliable source of their news.

..that could be problematic.

..but Nairobi Hospital when contacted did not want to confirm or deny that they have admitted President Magufuli, and that is a little worrisome to me.
 
..that could be problematic.

..but Nairobi Hospital when contacted did not want to confirm or deny that they have admitted President Magufuli, and that is a little worrisome to me.

The only thing the wise man can do is to let time be judge.
 
Sour

Source ni tundu loh!
Whatever it is the case, Mungu ataendelea kujitukuza, amsamehe na Amponye rais wetu mpendwa Mh Dr JPM! Mapenzi yake Mungu yatimizwe!

..I agree with you.

..Ningeamini source tofauti na Tundu Lissu.

..Lakini pia Nairobi Hospital wameshindwa kuthibitisha au kukanusha habari hizi.

..Sasa kwanini BBC wakaziandika?
 
The only thing the wise man can do is to let time be judge.
No, the only thing the wise can do in situations like this is to intervene with prayers so that that it may be well with him, amen!
 
..unampeleka Magu hospitali alikolazwa Lissu baada ya kushindiliwa marisasi?!

..I hope habari hizi ni za uzushi, kwani kama ni kweli itakuwa ni AIBU kubwa sana.
Kama zingekuwa za Uzushi msemaji wa serikali angekuwa asha toa taarifa .Si dhani kama huu uzi ungekuwa Mods wangekuwa tayari wame ufuta.
 
Kama zingekuwa za Uzushi msemaji wa serikali angekuwa asha toa taarifa .Si dhani kama huu uzi ungekuwa Mods wangekuwa tayari wame ufuta.

..Na Dr.Mpango naye amepelekwa hukohuko!! Ni kweli?
 
No, the only thing the wise can do in situations like this is to intervene with prayers so that that it may be well with him, amen!

..I hope hizi habari ni za UONGO.

..lakini kama ni kweli, Magu akipona atastahili ajiuzulu.

..msimamo wake kuhusu covid-19 umetuletea Watz maafa makubwa.
 
Back
Top Bottom