mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Jua hilo nijambo nyeti hamna dakitari au kiongozi wa nchi ambae anaweza kujitokeza kuliongelea ila lingekua sio kweli serikali ya Tz au ya Ky zingetoka nakukana hiyo habari hadharani lakini paka sasa hivi zote kimya kwanini?..naomba usome habari nzima utaona kwanini I have my reservations.
..pia BBC wameandika, " Nairobi Hospital also said it could not comment. "
..hiyo response toka kwa Nairobi Hospital ndio inayonipa wasiwasi.
..sasa hivi nasubiri kama Jumapili ataonekana Kanisani.