African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Screenshot_20210508-090738.jpg
 
yani mtu aruke mkojo akanyage mavi?
ngumu kumeza hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]enhee kwa hospital gani apo kwa manyan'gau ?
Wacha mavi alikanyanga shetani mwenyewe [emoji23][emoji23]
Sa hizi jamaa yuko kwa shetani anachomeka milele na milele na upumbavu wake [emoji88]
 
Kama ni kweli yuko hospitalized Nairobi! Hii aibu sijui Magu ataruka vipi hapa East Africa?

It will shows hospital facilities za Tanzania ni mediocre and local Kama nyimbo za Ken Wa Maria. [emoji16]
Anaruka kwa shetani ju ya kuchomeka na moto.
Ignorance is a death sentence.
 
Then kuchagua kwenda Kenya kimatibabu wakati Kuna tension Kati ya serikali ya Magu na Kenyatta ni hatari saana. Watamtandika sumu kuvu apumzike kwa amani.

The same na Nyerere alikataa asiende kutibiwa England ila mkapa akang'ang'ania then soon akafa hopsitalini. Nyerere aliona kwamba hawa jamaa niliwanyang'anya nchi haitawezekana wanipende at least nipelekeni China, hakupelekwa China akapelekwa kwa adui yake London, wakamalizana nae mapema tu.

Kumpeleka Magu Kenya wakati aliwachomea vifaranga vyao majuzi tu Ni bad card, hawajasahu wale watampatia sumu kuvu ya mahindi yule.
You were right. Jamaa alipigwa sindano ya sumu [emoji382][emoji382] Nairobi hospital na kutumwa Mzena akakufie huko.

Don't joke with investors. Now Kenyans wako huko kwa mpigo now that we have Mama kwa usukani
 
Mjiongeze kama mama alivyofanya kwenye mkutano wake na wazee wa Dar jana............. Hadi hapo ilipaswa muwe mumejifunza kitu kwamba ujuha na ukaidi hausaidii kitu hata uwe rais.

mask-pic.jpg
Kama ye mama kaamua kuufuata ujinga,unadhani kila mtanzania atafuata ujinga wake....!!!nenda kaangalie ule umati uwanja wa taifa Siku ya mechi ya simba na yanga juzi jumamosi kama kuna mtu kavaa barakoa?!!!..halafu tunam-mind kichizi yaani katuharibia mechi yetu kijingajinga tu simba alikuwa anakufa 3-0 kama game ingechezwa...
 
Back
Top Bottom