African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Kila nchi ina utaratibu wake wa kutoa habari, sio lazima tufanane sababu sio sheria

Cha msingi ni kila mtu alikuwa anaplay part yake Rais atengamae lakini Mungu kampenda zaidi, pia sio vizuri kuwapa wananchi taharuki sababu hata wakijua Rais mgonjwa hakuna positive impact yoyote upande wa wananchi wala wa mgonjwa.
Acha kutetea ujinga wako hapa
 
pombe.jpg
 
So sad and shamefully kwamba ilibidi hadi rais afe ndio viongozi wenzake waanze kuvaa barakoa. TIA! This Is Africa.
Picha ya zamani sana,Huyo pembeni ni ramaphosa during sadc meetings..mnajitahidi sana kueneza propaganda za kishamba,tafuta current pics uone kama kuna mtu kavaa masks
 
Oh they wearing masks now!

Can't believe these people actually believed magu's stupid opinions about coronavirus.

We don't call them bongolalas for no reason
Picha ya zamani during sadc meetings, na huyo pembeni ni ramaphosa rais was S.A
 
Picha ya zamani during sadc meetings, na huyo pembeni ni ramaphosa rais was S.A

Mjiongeze kama mama alivyofanya kwenye mkutano wake na wazee wa Dar jana............. Hadi hapo ilipaswa muwe mumejifunza kitu kwamba ujuha na ukaidi hausaidii kitu hata uwe rais.

mask-pic.jpg
 
Back
Top Bottom