Utakuta saizi ndio yanasema eti tumuombee marehemu,mtu anaombewa akiwa hai sio mfu,pengine Mungu angesikia sara na toba na kama mkuu alikuwa na madhambi yake angejirekebisha .Ujue maccm yameniudhi na nina hasira kiasi kwamba atokee mtu mbele yangu atetee huu ujuha naweza kumjeruhi.
Next time wakome kabisa na hii tabaia ya kuweka siri za afya na uongozi,haina tija.Ingekuwa wazi kila mtu angeomba kwa sara zake na kama hangeamka ingetosha kusema kazi ya Mungu haina makosa ila sio kumficha tutajuaje kama ni kweli alikuwa anaumwa kama wanavyotuambia? Kiufupi wamepoteza imani kwa umma na kutiliwa shaka kwamba labda wamemdhuru.