African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Kwa wingi wa tetes hiz huyu jamaa lzm atakuw ana chngamoto fulan na hiv anavyopenda sifa za kijnga km ingekua uongo lzm angejitokeza
 
Kwa wingi wa tetes hiz huyu jamaa lzm atakuw ana chngamoto fulan na hiv anavyopenda sifa za kijnga km ingekua uongo lzm angejitokeza
Hukuwa umezaliwa mwaka jana,mpaka tukaambiwa bendera hazina siku mbili zitashuka nusu mlingoti!

Tulibishia hivi hivi tukaonekana ni mataga tu wasaka tonge. Mwisho wa siku kila mtu alijua nani ni mpuuzi.
 
Kama uwongo then ww unasemaje? Unadhani hata kama mwongo, ww unasources gani za maana 'upate info kama izo kama sio umbea wa kitaa na vijiweni. Kama ungekuwa na source za maana then ww ungekuwa wa kwanza kuuliza huko Twitter na platform zingine ila kwakuwa ni cowardice character you had no balls so shut the f up n***a.

Taarifa za serikali, ni nani anawajibika kuzitoa!!?
Lisu, BBC, other rumour mongers. Kwa ushauri tu, ukiamini kila jambo unalolisikia utakuwa kama wimbi la bahari ambalo husukwa huku na huku. Kitu ambacho siyo kizuri.
 
Clutching at straws much?

You blaming a guy who is in Belgium??

You're the same people who told us that lissu lost the elections because nobody believed whatever he said? Now you want to tell us that the same guy is responsible for the for this story because out of nowhere now people believe whatever he says?

Which one is it? Jeezus Christ y'all cant figure out which lie to stick with.

No one is blaming this useless person.
Only the blind people can trust the guy.
 
Hivi huwajiu hao mabwana kwa kutengeneza kiki? Naamini Mr President yupo ikulu katulia anatuchora tunavyolumbana
People daily page 2
IMG_20210311_074350.jpg
 
We mjaluo stay away from us.
We don't like your attitude since forever why butt in for something which is non of your business.
Nyie wakenya ni watu nuksi tu.
Sasa akiugua au asiugue we kinakuwasha nini! Au sharwala inakupa tabu.
Kaa mbali na taifa letu.
Majungu peleka kwenu mnakochinjana kwa ukabila.
Rais wetu augue au asiugue inawahusu nini nyie banyamulenge? Yaani kuona flyovers kidogo tu mmeanza kumeza mate.
Bloody biscut!
Huyo ni mbwa tu
 
(Sikusakami ila najua vyema uvumi huu umekukuna roho ) Tupo kwenye mahusiano mabovu ya kidiplomasia na Kenya.Usishangae wao ni ndo kinara wakuzusha haya wakisaidiwa na fugitives Ngurumo na kundi lake, Mr Nyani we are at war japo selection ya weapon ya Kenya ni weak..Subversive is no longer paramount On the highly globalised gen.
Kweli inaweza kuwa ni uvumi, nini jukumu la idara ya habari ikulu, au ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali? kama wanaweza kulikalia kimya suala ili kubwa linalohusu afya ya Rais na kuleta taaruki kwa jamii, vipi kwa mambo mengine madogo?
 
Hili ni jambo la kushangaza au kuhuzunisha.
Kama kweli Magufuli kalazwa kenya na media zote za kenya zinashindwa kuripoti hadi media za ulaya ziseme kuna tatizo kubwa.
Au kenya inaiogopa Tanzania au media za kenya zimefeli.
Ni mtazamo wangu tu
Nchi nyingine as government itatoaje taarifa za rais wa nchi nyingine pasi nchi husika kuishirikisha?

Although media house iliyoiva haiwezi kutoa taarifa ya upande mmoja unbalanced story.
 
..that could be problematic.

..but Nairobi Hospital when contacted did not want to confirm or deny that they have admitted President Magufuli, and that is a little worrisome to me.
Because there are protocals between governments,if a diplomatic top secret classified directive was issued between both governments for this to be kept under wraps, haitotokea mkahabarishwa abadan ,until this info/intel iwe declassified many years later.

Serikali zetu mbili zina ukaribu mno,nyie makajamba wa chini ndio mnaamini eti kuna uhasama, mivutano yote mliyoyashuhudia ilikua ni kuwapumbaza kipindi cha kampeni ya uchaguzi ili kupata kiki.
 
Bado nawaza aibu itakayo wakuta watu pale Dr Magufuli atakapo toka mapumzikoni huku akicheka kile kicheko chake.

Lissu.
BBC
Nyumbu
Sijuii mtaziweka wapi nyuso zenu.

Wakati nyie mnamuombea Rais kifo wapo wanao muombea uzima kwa jina la Yesu na Damu ya Yesu iendelee kumfunika. Tuna kaataa na kufuta maneno ya mabaya yanayotamkwa juu yake kwa Damu ya Yesu.
 
UNAFIKI HUU, MNAPASWA KUISHUKURU KENYA,BAADA YA LISSU KUTIBIWA SASA RAISI WENYU NA VIONGOZI WENGI WA TANZANIA TU,KIMYA KIMYA.
NDUMALAKUWILI NYIE.
 
Bado nawaza aibu itakayo wakuta watu pale Dr Magufuli atakapo toka mapumzikoni huku akicheka kile kicheko chake.

Lissu.
BBC
Nyumbu
Sijuii mtaziweka wapi nyuso zenu.

Wakati nyie mnamuombea Rais kifo wapo wanao muombea uzima kwa jina la Yesu na Damu ya Yesu iendelee kumfunika. Tuna kaataa na kufuta maneno ya mabaya yanayotamkwa juu yake kwa Damu ya Yesu.
People daily page 2
EwLevUiXIAIzRKa.jpg
 
Back
Top Bottom