Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Yuko kwenye ventilator hawezi kusafiri, ngoma iko hapo.Geza Ulole joto la jiwe The best 007 ichoboy01 tuusan eliakeem
Je, ni kweli kwamba rais wenu Magufuli hajaonekana hadharani kwa wiki mbili sasa? Inasemekana kwamba anapata matibabu Nairobi. Mimi sijui ukweli wa madai haya lakini tutajua ukweli very soon. Siamini madai haya unless walete evidence.