African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

mkuu, hivi unataka muuguzi atoe siri za mgonjwa??? hivi una akili timamu kweli wewe?
kama kweli Rais yuko nchini na anatekeleza majukumu yake, mbona hatumuoni wala kumsikia kwenye vyombo vya habari?
wewe jamaa unahitaji fimbo za kisawasawa na maombi juu yake ili akili zako zirudi sawa.
meanwhile, tuzidi kumuombea Rais wetu mpendwa apate uponyaji wa haraka.
Rais amekua mwari haonekani
 
Naweza kukubali kiongozi wangu labda atakuwa anaumwa lakini kutibiwa Kenya nitakuwa wa mwisho kuamini
Narudia tena , unapokuwa Mahututi wanaokuuguza ndio wanaoamua ni wapi wakupeleke ili wakunusuru
 
Kwanza kwenye akili tu inakataa,apelekwe Kenya wakati alikua ataki kabisa na awa majirani wanaojifanya wao ni East Africa Super Power..
Ivi kujenga ukuta wa Merelani unadhani yeye ajui ni chukizo kubwa sana kwa Kenya?
Alafu augue eti apelekwe Kenya?
 
Media za kenya kujeni hapa mtuambie ukweli. Maana uyu mtu tunamsaka kila kitaa hayupo kama kwel mmemficha huko na hamsemi tutawafungulia mashtaka mjue?
Kwan mnataka kumfanyia nini?
Kama malimao hata huku yamo, nyungu pia zimo..turudishie mtu wetu.ohooo. sisi hatutakubali kusikia story nyingine...ohooo...nyie chezen tu na akili zetu.
Nasema hiviii maana nyie hamjui kiswahili. Tunamtaka mtu wetu. Tena leo tumsikie...tuna miradi huku yakuzindua. La sivyo tusitafutane ubaya tukikiwasha. Uwezo tunao nguvu tunazo nia tunazo tusitishane.
Kuna wakati walimtamani awe wao wasijekuwa wamemuiba??
 
Media za kenya kujeni hapa mtuambie ukweli. Maana uyu mtu tunamsaka kila kitaa hayupo kama kwel mmemficha huko na hamsemi tutawafungulia mashtaka mjue?
Kwan mnataka kumfanyia nini?
Kama malimao hata huku yamo, nyungu pia zimo..turudishie mtu wetu.ohooo. sisi hatutakubali kusikia story nyingine...ohooo...nyie chezen tu na akili zetu.
Nasema hiviii maana nyie hamjui kiswahili. Tunamtaka mtu wetu. Tena leo tumsikie...tuna miradi huku yakuzindua. La sivyo tusitafutane ubaya tukikiwasha. Uwezo tunao nguvu tunazo nia tunazo tusitishane.
leo tumsikie...tuna miradi huku yakuzindua. La sivyo tusitafutane ubaya tukikiwasha. Uwezo tunao nguvu tunazo nia tunazo tusitishane[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwanza kwenye akili tu inakataa,apelekwe Kenya wakati alikua ataki kabisa na awa majirani wanaojifanya wao ni East Africa Super Power..
Ivi kujenga ukuta wa Merelani unadhani yeye ajui ni chukizo kubwa sana kwa Kenya?
Alafu augue eti apelekwe Kenya?
Kuna mtanzania hapa amesema ukiwa mgonjwa hauna uwezo wa kuchagua hospitali, i thought that answers that question perfectly well
 
Kuna mtanzania hapa amesema ukiwa mgonjwa hauna uwezo wa kuchagua hospitali, i thought that answers that question perfectly well
Rais wa Tanzania hawezi kupelekwa Kenya ambayo hawana hudumu nzuri zaidi yetu labda south afrika au ulaya.
 
These are silly propaganda.

None of these reports have been precise about the actual name of the hospital he has been admitted, they simply say Nairobi hospital.

How many hospitals do you have in Nairobi?

They are going even further, claim doctors are weighing options, blah blah! If the have access to all these info why cant they give the hospital name??
Mtaweweseka Sana ila ndio hivyo baneni mbupu Jiwe apone vinginevyo watu wanaandaa vyombo
 
Basi yuko wapi Rais? Umesahau Lissu ni hasidi wa Pombe kisiasa. Unadhani hawezi kuwa na taarifa za kule Rais yupo?
Lissu baada ya kulishwa marisasi, alikuja tibiwa the same Nairobi Hospital where he made friends with staff there. Hawa marafiki wake wakiwemo madaktari ikiwa bado wanawasiliana hapo ndipo taarifa hizo zilivyovuja, jana lakini Rais kapelekwa India.
The smart thing to do is for your govt to come forward kuzima tetesi hizi.
Bila shaka wamemtoa hapo kuepusha kuvuja zaidi kwa taarifa za hali yake maana hapo kuna ma informer kibao

Pili ni kukwepa embarrassment ya media bila shaka
 
Back
Top Bottom