African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital


Picha hii hongera kwa aliyeichukua maana ana Jicho la mwewe kutambua kwa mbaaali mzigo huu ni maalum kwa shughuli kubwa ya vigogo wa kiserikali wenye kuweza kuwa amiri jeshi mkuu au jenerali wa jeshi.

Ngoja tusikilizie na kufuatilia matukio ya kuagwa Lugalo, inaweza kuwa majenerali wanaagwa baada ya kufikisha umri wa kustaafu na utumishi uliotukuka au pia inaweza kuwa ni jukwaa / dias kwa shughuli nyingine maalum ya kitaifa.

.................................................................

Picha toka maktaba : Maofisa Majenerali 16 waliostaafu Utumishi Jeshini waliagwa.

Mnadhimu Mkuu mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kwenye gari kushoto) na Mkuu wa Vikosi vya Kulinda Amani Umoja wa Mataifa, Luteni Jenerali mstaafu, Paul Ignas Meela wakitoa heshima katika hafla ya kuagwa iliyofanyika Viwanja vya Twalipo Mgulani Dar es Salaam source : Jeshi la Wananchi wa TANZANIA ( JWTZ ) limewaaga Maofisa wake 16 Baada ya Kustaafu Kazi
 


Lakini Ile machungu huyu jamaa ako nayo.......noma sana!!! The Tanzanian Miguna Miguna


Walichomfanya huyu jamaa yaani hayo machungu hata sio kitu, wewe upigwe risasi 38 na uachwe uteseke kwa kipindi chote hicho, bora hakuukwa urais maana nahisi angelipiza kisasi.
 
Imagine this pic how KOT made it trend, very sad
20210317_234806.jpg
 
Wanaoonyesha furaha zao endapo atapoteza maisha!! Hiki ni kilele cha ujuha aisee. Hivi mtu utafurahiaje jambo limpatalo mwenzio wakati na wewe litakupata? Sijui ni akili za wapi tu hizi. Kifo hakina mwenyewe. Ni chetu sote. But oh well....
Okay!!
 
Walichomfanya huyu jamaa yaani hayo machungu hata sio kitu, wewe upigwe risasi 38 na uachwe uteseke kwa kipindi chote hicho, bora hakuukwa urais maana nahisi angelipiza kisasi.
Huyu hawezi kuwa Rais wa Tanzania hata iweje
 
Back
Top Bottom