African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Kama umeacha kushangaa ni vizuri..
Vp huko njaa Imeisha tuwaletee mahindi?maana ni juzi tu mmeibuka kwa kusema mahindi yana sumu, leo mmekujw kwa kusema kiongozi mgonjwa kaletwa kwenu, nyie mnashida gani nyie??
 
mkuu unatumia nguvu sana,unawapa airtime na kujihisi wanajadili jambo nyeti sana kumbe uzushi tu.

Nadhani taarifa kama hizi ndizo zinatekenya masikio yake. Maana namuuliza ni chanzo gani cha habari ambacho unakiamini. Hajibu, anaanza kuongea mambo meengi.
 
Vp huko njaa Imeisha tuwaletee mahindi?maana ni juzi tu mmeibuka kwa kusema mahindi yana sumu, leo mmekujw kwa kusema kiongozi mgonjwa kaletwa kwenu, nyie mnashida gani nyie??
Duh
 
Nimeacha kushangaa baada ya kukumbuka kile huwatendekea albino huko, kwamba nyie ni wale wale...
Hivi majority ya journalists huwa wanakuwa trained wapi? Nawaona kuwa kuwa wanna freedom kubwa kwenye operations na uandishi wao...wanaweza wakaanzisha rumours zozote zile kwa kile kinachoitwa freedom of expression...
 
Na wote waliyopo Ikulu wanaakili timamu ya kuamua nn wafanye kwa wakati husika, nadhani wao wangeweza kuamua hata apelekwe mbali zaidi ya India kuliko ambavyo yeye angeamua,pia suala la matibabu Ya Rais wa nchi hakihitaji mjadala mrefu nn kifanyike n maamuzi ya madaktari wake kuona wapi anastahili apelekwe
Huko india unakotaja ni safari ya saa moja?
 
Let's conclude like this, you go on believing on newspaper which was even not able to mention the name of that so "called the Afrikan leader taken ill". Me; I'll keep on believing the official statement from the govt, until it's again announced otherwise. Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
Boss not only mentioning, they even put up his pic
20210311_111953.jpg
 
Huko india unakotaja ni safari ya saa moja?
Hata ingekuwa masaa kumi, unadhani kiongozi anasafiri bila doctors, haya na mbona Kama mnavyo sema baada ya hapo alipelekwa India?? Kwahiyo kutoka Nairobi mpaka India n lisaa limoja? Na nilicho ongea mm ni kwamba kwa mamlaka aliyo nayo hawezi letwa Nairobi angepelekwa moja kwa moja India
 
Wewe huna facilitues za kumtoa mgonjwa hapa ukamfikishe india. Ndio maana walianzia karibu.
 
Nchi imejaa mapunguani, yaani yanaamini JPM anaweza enda kutibiwa Kenya, katika nchi zote njema za Ulimwengu huu ndio aende Kenya??
Leave alone JPM anaamini madaktari wake wazawa always na hata ingekuwa Kenya wana hiyo capacity ya kumtibu Rais (ambayo hawana) angeenda hata South Africa, China au India,
Yaani hata kwa akili ndogo tu useme Joe Biden akatibiwe Russia,
Mikenya ni Mijinga na haibadiliki miaka nenda rudi yaani. Inazeeka na ujinga wao.
The other day you conceded that Kenya has better private hospitals than Tz. Leo unapingana. Hauna msimamo, you only argue to win.
 
Mimi nazishangaa pande zote.

1. Hao waliomzunguka, nakubaliana nawe kuwa kuna wanafiki. Mbele yake wanamchekea na kumnyenyekea lakini nyuma yake wanamteta vibaya mno.

2. Wanaoonyesha furaha zao endapo atapoteza maisha!! Hiki ni kilele cha ujuha aisee. Hivi mtu utafurahiaje jambo limpatalo mwenzio wakati na wewe litakupata? Sijui ni akili za wapi tu hizi. Kifo hakina mwenyewe. Ni chetu sote. But oh well....
Shida unahukumu athari ila huangalii chanzo cha tatizo kiko wapi. Kwa kawaida mtu hawezi kufurahia mwenzake kukumbwa na tatizo /shida ambayo na yeye itampata. Ila pale mtu anaishi na kutenda kama yuko juu ya hizo shida, kwa hakika siku akikutana nazo watu hufurahia, kwa sababu shida hizo zisipomwondoa basi humrejeshea kwa kiasi kikubwa, ule ubinadamu uliokuwa ameuacha iwe kwa makusudi au bahati mbaya.
 
Hiyo ni tafsiri yako kulingana na mtazamo wako.
 
umeamu kujifunika huu uzushi.

eti super power wa hospital[emoji23][emoji23]
Najua ukweli unauma lakini itabidi mzoeee.
Matibabu ya nje huonyesha umahiri wa wauguzi na state of the art facilities.
Mambo kama haya na mengine mengi ndio hufanya nchi kadhaa kupewa hadhi ya super power East and Central Africa
 
Back
Top Bottom