African leader taken ill, admitted to city hospital

Haya basi jombaa haina presha. Sitakukwaza, endelea kwa raha zako kutumia like za twitter kama ushahidi kwamba rais wenu anaendelea kuchapa kazi kwa nguvu. [emoji41]
Sawa mkulungwa, nawe endelea kutumia Jamii ya Kikenya ya Jobless Keyboard worriors huko tweeter kama ushahidi ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatibiwa hapo kenya republic.
 
Ama kwa kweli sijui kawafikisha wapi hao Watanzania, nimeshangaa kuona watu wanapost kabisa tena bila aibu kwamba wanasubiri kwa hamu kuskia rais wao ameaga dunia. Siamini macho yangu kabisa.
If the press is quite, it just goes to show how he is feared and hated by many, yule jamaa i knw of some CCM diehards and sponsors they hate him, but pretend
 
Nimeacha kushangaa baada ya kukumbuka kile huwatendekea albino huko, kwamba nyie ni wale wale...
Mungu anakupa unachoomba kama kina manufaa na Ufalme wake, kuna aliyeomba kazi ya kusaidia malaika, mara tu application form ikawa processed.
 
Naamini kwamba Mungu mtu wenu hawezi akaugua na yupo busy kazini kwa zaidi ya wiki sasa akikimbizana na deadlines. Ndio maana hana muda hata wa kuota jua, achia mbali kuonekana hadharani. Tupo pamoja kufikia hapo?

Unazunguka sana,
Nijibu tu kwa ufupi.
Kati ya Tetesi na Kauli ya Waziri mkuu ipi unaiamini?
 
Mimi naona ungekua busy twitter ukipigana na watanzania wenzako wenye wana spread rumours that he is dead, uwache kuwekelea wakenya, your brothers are busy planning celebrations

Hapana bro, huo muda sina, isitoshe serikali imeshatoa taarifa kuhusu jambo hilo. Anayeamua kubisha na kuanza kukesha sijui wapi huko kwenye mitandao ya jamii, muache afanye hivyo. Maana ndiyo maisha aliyochagua ya kuzusha na kueneza mambo mbalimbali. Na hili siyo jambo la kwanza kuzusha na pia halitakuwa la mwisho wataendelea tu kuzusha. Hata huko kwenu kenya wazushi wapo. Lkn mtu mwenye busara ni yule anategemea habari kutoka vyombo na vyanzo rasmi vinavyotambulika. Kama utakuwa unaamini kila jambo basi pazia litakuwa na thamani kubwa kuliko wewe bendera unayefuata upepo. Hata wahenga wanasema... "asiyesoma magazeti ni mjinga, lkn anayeamini kila anachosoma kwenye magazeti huyo ni mjinga zaidi". Hivyo lazima tujihadhari na mtego wa kufuata umati ambao pengine kile wanachokiamini si sahihi.
 
Waziri hawezi ongea uongo?

Ningekuelewa endapo ungenijibu kwanza swali langu.

Pale alikuwa anaongea kama mamlaka. Hakuwa anaongea kama yeye.

Bado nina swali langu; kati ya tetesi na Waziri Mkuu nani utamuamini?
Nikijua hilo itanisaidia kujua aina ya mtu ninayejadili naye, ili nihitimishe mjadala.
 
By believing a story it depends with different factors, for me i would choose to believe the newspaper because the person in question, him being a public figure not being seen in public is quite unlike him, same day i was in nairobi hospital and things were not usual, with tight security around, i again happened to in wilson airport and word around was of the air ambulances that were making back to back rounds to Tz and back, so why would i choose to believe someone trying to cover a story? Ethiopia tried to pull such a stunt and it backfired on them
 
amini kile kinachokufurahisha.

ili upate afafhali kwa muda kiasi.
 
Ningekuelewa endapo ungenijibu kwanza swali langu.

Pale alikuwa anaongea kama mamlaka. Hakuwa anaongea kama yeye.

Bado nina swali langu; kati ya tetesi na Waziri Mkuu nani utamuamini?
Nikijua hilo itanisaidia kujua aina ya mtu ninayejadili naye, ili nihitimishe mjadala.
mkuu unatumia nguvu sana,unawapa airtime na kujihisi wanajadili jambo nyeti sana kumbe uzushi tu.
 
Haiingii akikini eti Rais wa nchi ambaye eti kila kitu kipo chini yake augue halafu apelekwe Nairobi kwa matibabu wakati anauwezo wa kuamuru ndege iwashwe hata saa nane usiku mojakwamoja India, Hilo la kwanza, la pili sijaona bado nn wanacho hospital ya Nairobi ambacho hakipo Tz, la tatu ni kwamba Ikulu siyo nyumba ya mtu binafsi iliyo kiambuu ama hata Gareshi au kisii, Ikulu n Kama taasisi na Kuna kila Aina ya madaktari wa kila fani, Sasa napata shida Sana kusikia eti alikimbizwa Nairobi, for what?? Kabla hamja post kitu jaribuni kufikiria kwa kina
 
By believing a story it depends with different factors, for me i would choose to believe the newspaper because the person in question, him being a public figure not being seen in public is quite unlike him, same day i was in nairobi hospital and things were not usual, with tight security around, i again happened to in wilson airport and word around was of the air ambulances that were making back to back rounds to Tz and back, so why would i choose to believe someone trying to cover a story? Ethiopia tried to pull such a stunt and it backfired on them

Let's conclude like this, you go on believing on newspaper which was even not able to mention the name of that so "called the Afrikan leader taken ill". Me; I'll keep on believing the official statement from the govt, until it's again announced otherwise. Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
 
Hapana bro, huo muda sina, isitoshe serikali imeshatoa taarifa kuhusu jambo hilo. Anayeamua kubisha na kuanza kukesha sijui wapi huko kwenye mitandao ya jamii, muache afanye hivyo. Maana ndiyo maisha aliyochagua ya kuzusha na kueneza mambo mbalimbali. Na hili siyo jambo la kwanza kuzusha na pia halitakuwa la mwisho wataendelea tu kuzusha. Hata huko kwenu kenya wazushi wapo. Lkn mtu mwenye busara ni yule anategemea habari kutoka vyombo na vyanzo rasmi vinavyotambulika. Kama utakuwa unaamini kila jambo basi pazia litakuwa na thamani kubwa kuliko wewe bendera unayefuata upepo. Hata wahenga wanasema... "asiyesoma magazeti ni mjinga, lkn anayeamini kila anachosoma kwenye magazeti huyo ni mjinga zaidi". Hivyo lazima tujihadhari na mtego wa kufuata umati ambao pengine kile wanachokiamini si sahihi.

Lakini muda unao wa kujaza hizi insha zako humu ukiwafuata Wakenya ilhali Watanzania wenzako ndio wamejaza nyuzi kule zinajadili umahututi wa rais wenu. Kwa taarifa yako sisi Wakenya tunasoma mnayoyasema wenyewe wala hatubishi chochote wala kukubali.
 
Haiingii akikini eti Rais wa nchi ambaye eti kila kitu kipo chini yake augue halafu apelekwe Nairobi kwa matibabu wakati anauwezo wa kuamuru ndege iwashwe hata saa nane usiku mojakwamoja India, Hilo la kwanza, la pili sijaona bado nn wanacho hospital ya Nairobi ambacho hakipo Tz, la tatu ni kwamba Ikulu siyo nyumba ya mtu binafsi iliyo kiambuu ama hata Gareshi au kisii, Ikulu n Kama taasisi na Kuna kila Aina ya madaktari wa kila fani, Sasa napata shida Sana kusikia eti alikimbizwa Nairobi, for what?? Kabla hamja post kitu jaribuni kufikiria kwa kina
Ilikuwa ni mchezo wa Tiss na NIs ku deflect attention from Dar es laam..so that they buy time ku ensure smooth transfer of power ... apparently kuna migogoro ya ndani kwa ndani.
 
Haiingii akikini eti Rais wa nchi ambaye eti kila kitu kipo chini yake augue halafu apelekwe Nairobi kwa matibabu wakati anauwezo wa kuamuru ndege iwashwe hata saa nane usiku mojakwamoja India, Hilo la kwanza, la pili sijaona bado nn wanacho hospital ya Nairobi ambacho hakipo Tz, la tatu ni kwamba Ikulu siyo nyumba ya mtu binafsi iliyo kiambuu ama hata Gareshi au kisii, Ikulu n Kama taasisi na Kuna kila Aina ya madaktari wa kila fani, Sasa napata shida Sana kusikia eti alikimbizwa Nairobi, for what?? Kabla hamja post kitu jaribuni kufikiria kwa kina
Ukiumwa ukawa huna hata uwezo wa kuongea huwezi kuwaamuru watu wafanye nn juu yako. Hili naona hulijui
 
Na wote waliyopo Ikulu wanaakili timamu ya kuamua nn wafanye kwa wakati husika, nadhani wao wangeweza kuamua hata apelekwe mbali zaidi ya India kuliko ambavyo yeye angeamua,pia suala la matibabu Ya Rais wa nchi hakihitaji mjadala mrefu nn kifanyike n maamuzi ya madaktari wake kuona wapi anastahili apelekwe
 
Back
Top Bottom