African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Kuna tetesi Mzee katangulia mbele za haki. Ikiwa ni kweli, Mola ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
Bro, you don't need to bother kushangilia kifo cha mwingine in such a way you make others think that you are a witch. Give time to your feelings, then everything will be unveiled.
Ona mwingine ni wapo hapo ambapo umeona 'nikishangilia' kifo cha mtu yeyote yule? Mimi ningependa apone ili atoe ushuhuda kwamba masuala ya kisayansi yanafaa 'approach' ya utalaamu wa kisayansi. Sio ubabe wa peni mbili, imani za ajabu ajabu na vitu ambavyo vinaendana sana na ushirikina.
 
Why on earth and how long would he be willing to waste his time responding to claims engineered by a bunch of jobless folks such as Lissu, Zitto, Lema, Msigwa, etc?

Kwahiyo yupo anachapa kazi sio ? wapi huko alipo ? daaah wakuu magufuli ni binadamu tu na yeye na anaweza kuumwa na anaweza kudondoka anytime, anyday sasa ninyi mnaficha anavyoumwa mnakosea
 
So we are talking about Englisha Language now, You've been trapped in your own stupidity old man, as fool as typical Kenyans.
Tumia tu kiswahili jombaa. Sijui kwanini unajiumiza sana na kiingereza. Wakati ni wazi kwamba huelewi ninamaanisha nini nikikueleza kwamba official social media accounts za marais wengi huwa zipo mikononi mwa handlers wao.
 
Ona mwingine ni wapo hapo ambapo umeona 'nikishangilia' kifo cha mtu yeyote yule? Mimi ningependa apone ili atoe ushuhuda kwamba masuala ya kisayansi yanafaa 'approach' ya utalaamu wa kisayansi. Sio ubabe wa penu mbili, imani za ajabu ajabu na vitu ambavyo vinaendana sana na ushirikina.

Kauli zako zinaonekana waazi kabisa. Kwa nini ung'ang'anie kwamba amekufa, wakati mmoja kati ya viongozi wakubwa kabisa ametangaza kuwa yuko salama na anaendelea na majukumu yake!!?
Wewe na waziri mkuu nani wa kuaminiwa?
 
Unaumwa wewe, nioneshe kauli zangu hizo ambazo zinaonesha niking'ang'ania kwamba amekufa.
 
Tumia tu kiswahili jombaa. Sijui kwanini unajiumiza sana na kiingereza. Wakati ni wazi kwamba huelewi ninamaanisha nini nikikueleza kwamba official social media accounts za marais wengi huwa zipo mikononi mwa handlers wao.
Mzee una hati-miliki ya Lugha ya Uingereza? In Kenya wapumbavu wengi sana mmezeeka.
 
Unaumwa wewe, nioneshe kauli zangu hizo ambazo zinaonesha kwamba nang'ang'ania kwamba amekufa.

Punguza jazba bwana mdogo.

Hili swali ninalokuuliza ndilo litathibitisha madai yangu.

Kati ya hizo tetesi na kauli ya waziri mkuu, wewe unaamini kipi???
 
Mzee una hati-miliki ya Lugha ya Uingereza? In Kenya wapumbavu wengi sana mmezeeka.
Haya basi jombaa haina presha. Sitakukwaza, endelea kwa raha zako kutumia like za twitter kama ushahidi kwamba rais wenu anaendelea kuchapa kazi kwa nguvu. [emoji41]
 
Kwahiyo yupo anachapa kazi sio ? wapi huko alipo ? daaah wakuu magufuli ni binadamu tu na yeye na anaweza kuumwa na anaweza kudondoka anytime, anyday sasa ninyi mnaficha anavyoumwa mnakosea

Kama haumwi, mtu hawi mgonjwa kwa kumtangaza tu kuwa ni mgonjwa. That’s political bankruptcy on the opposition’s part!
 
Kauli zako zinaonekana waazi kabisa. Kwa nini ung'ang'anie kwamba amekufa, wakati mmoja kati ya viongozi wakubwa kabisa ametangaza kuwa yuko salama na anaendelea na majukumu yake!!?
Wewe na waziri mkuu nani wa kuaminiwa?
Mimi naona ungekua busy twitter ukipigana na watanzania wenzako wenye wana spread rumours that he is dead, uwache kuwekelea wakenya, your brothers are busy planning celebrations
 
Punguza jazba bwana mdogo.

Hili swali ninalokuuliza ndilo litathibitisha madai yangu.

Kati ya hizo tetesi na kauli ya waziri mkuu, wewe unaamini kipi???
Naamini kwamba Mungu mtu wenu hawezi akaugua na yupo busy kazini kwa zaidi ya wiki sasa akikimbizana na deadlines. Ndio maana hana muda hata wa kuota jua, achia mbali kuonekana hadharani. Tupo pamoja kufikia hapo?
 
Mimi naona ungekua busy twitter ukipigana na watanzania wenzako wenye wana spread rumours that he is dead, uwache kuwekelea wakenya, your brothers are busy planning celebrations

Ama kwa kweli sijui kawafikisha wapi hao Watanzania, nimeshangaa kuona watu wanapost kabisa tena bila aibu kwamba wanasubiri kwa hamu kuskia rais wao ameaga dunia. Siamini macho yangu kabisa.
 
Ama kwa kweli sijui kawafikisha wapi hao Watanzania, nimeshangaa kuona watu wanapost kabisa tena bila aibu kwamba wanasubiri kwa hamu kuskia rais wao ameaga dunia. Siamini macho yangu kabisa.
Sasa wewe nyang"au unashangaa Nini?
 
Back
Top Bottom