Na cha kushangaza ni kwamba hamkuambiwa chochote. Vyombo vya habari, hasa za Kenya zilizojaribu kulizungumzia hili, walitupiwa maneno makali na hata matusiMagu was on life support for more than 5 days
Hata Rais wenu akifa hamtotangaziwa kienyeji tu, mtu akiwekwa kwenye life support machine ni kama yupo hai but unconsciouslyNa cha kushangaza ni kwamba hamkuambiwa chochote. Vyombo vya habari, hasa za Kenya zilizojaribu kulizungumzia hili, walitupiwa maneno makali na hata matusi
Nahisi uchungu wako ila ndo basi. Maji yashamwagika. Kazi ya Mungu haitiwi kasoroUtakuta saizi ndio yanasema eti tumuombee marehemu,mtu anaombewa akiwa hai sio mfu,pengine Mungu angesikia sara na toba na kama mkuu alikuwa na madhambi yake angejirekebisha .Ujue maccm yameniudhi na nina hasira kiasi kwamba atokee mtu mbele yangu atetee huu ujuha naweza kumjeruhi.
Next time wakome kabisa na hii tabaia ya kuweka siri za afya na uongozi,haina tija.Ingekuwa wazi kila mtu angeomba kwa sara zake na kama hangeamka ingetosha kusema kazi ya Mungu haina makosa ila sio kumficha tutajuaje kama ni kweli alikuwa anaumwa kama wanavyotuambia? Kiufupi wamepoteza imani kwa umma na kutiliwa shaka kwamba labda wamemdhuru.
Moi was ill and the whole country knew about it. The moment he breathed his last, wakenya walijulishwa bila sita sita. Raila odinga was recently diagnosed with Corona and hospitalized and Kenyans were told about it. This doesn't leave beople guessing and hating should the worst happen.Hata Rais wenu akifa hamtotangaziwa kienyeji tu, mtu akiwekwa kwenye life support machine ni kama yupo hai but unconsciously
Kila nchi ina utaratibu wake wa kutoa habari, sio lazima tufanane sababu sio sheriaMoi was ill and the whole country knew about it. The moment he breathed his last, wakenya walijulishwa bila sita sita. Raila odinga was recently diagnosed with Corona and hospitalized and Kenyans were told about it. This doesn't leave beople guessing and hating should the worst happen.
Magu kukwekwa kwenye life support haikuwa sababu ya watanzania kutojulishwa kuhusu hali yake ya afya
Is this a cessna aircraft?
Yes, more likely.Unconfirmed reports say he died much earlier, most probably on Saturday. They were just buying tine before making news about his death public
Most likely to beIs this a cessna aircraft?
There's something called right to information. In Kenya, it is enshrined in the constitutionKila nchi ina utaratibu wake wa kutoa habari, sio lazima tufanane sababu sio sheria
Cha msingi ni kila mtu alikuwa anaplay part yake Rais atengamae lakini Mungu kampenda zaidi, pia sio vizuri kuwapa wananchi taharuki sababu hata wakijua Rais mgonjwa hakuna positive impact yoyote upande wa wananchi wala wa mgonjwa.
Thats a pilatus pc-12 aircraft, amref has a fleet of 3 cessna ciation jets with a range of over 200nm, zote air ambulance, sasa hio gulf stream yenyu is it fitted with medical equipments ama?Most likely to be
Hauwezi kuwa linganisha uliowataja na sitting presidentThere's something called right to information. In Kenya, it is enshrined in the constitution
Hakuna chochote kilichomo kwenye any modern air ambulance hakiwezi kuwa mobileThats a pilatus pc-12 aircraft, amref has a fleet of 3 cessna ciation jets with a range of over 200nm, zote air ambulance, sasa hio gulf stream yenyu is it fitted with medical equipments ama?
Sadc meetings
So sad and shamefully kwamba ilibidi hadi rais afe ndio viongozi wenzake waanze kuvaa barakoa. TIA! This Is Africa.
It was actually to hide the fact that he was there. That's why Raila's visit was highly publicized. So that people don't ask questions on the increased security at the hospital.Na RAO kwenda Nairobi hospital was probably to see him
And then the guy gets well within a few daysIt was actually to hide the fact that he was there. That's why Raila's visit was highly publicized. So that people don't ask questions on the increased security at the hospital.
Actually Raila's case was forged. How can one contract covid and recover within three days considering Raila's age.And then the guy gets well within a few days