African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

..I hope hizi habari ni za UONGO.

..lakini kama ni kweli, Magu akipona atastahili ajiuzulu.

..msimamo wake kuhusu covid-19 umetuletea Watz maafa makubwa.
Hakuna cha kujihudhuru wala nini! Kama Mungu mwenyewe anaendelea kumtunuku uhai na afya njema sisi ni akina nani hata tuanze kumtaka ajiuzuru! Bado kuna mambo mengi anatakiwa kuyakamirisha Tz! Eh Mwenyezi Mungu, tunaomba umrehemu na umponye mja wako John Pombe J Magufuli! Amen!
 
..I hope hizi habari ni za UONGO.

..lakini kama ni kweli, Magu akipona atastahili ajiuzulu.

..msimamo wake kuhusu covid-19 umetuletea Watz maafa makubwa.
Jiwe hawezi jiuzulu.

Natural causes ichukue hatua.
 
You know this would be long gone if your govt spokesperson would come out, deny or verify these claims?

Lisu is behind this rumour. He's in first place started to ask the whereabouts of H.E.
Saying we didn't see him in the church. Didn't see him in public. He's nowadays a rumour monger, gossiping around. He has nothing tangible to offer. Anaongea uongo uongo tu.
I think this's why the GoT opted to be silence.
 
..I agree with you.

..Ningeamini source tofauti na Tundu Lissu.

..Lakini pia Nairobi Hospital wameshindwa kuthibitisha au kukanusha habari hizi.

..Sasa kwanini BBC wakaziandika?

BBC ilibidi na wenyewe nao wawe kwenye trilemma kama wenzao Nairobi Hospital. Lkn siyo kutuaminisha na habari kutoka kwa antipas.
 
Mungu angekuwa anafanyia kazi maombi ya kizembe kama haya, hata wewe leo usingekuwa nyuma ya hiyo keyboard, kwa sababu wapo waliotamani usiione kesho yako!
Kawe alumni una Hofu sana kufiwa na mumeo!?
 
Back
Top Bottom