Hizi ramli zinaweza kuwasaidia wenye kubeti, lakini uhalisia ni tusubiri kutamatika kwa mechi zao.Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.ππ
Mamelodi.,........24%
Al ahly........20%
esperence ....14%
Petro atletico 12%
Young Africans .....10 %
Tp mazembe.......6%
Simba ........6%
Source...... African soccer zone
ππ
#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
ramli vp unataka tumtoe mamelodi na ahly pale juu tuweke kikolo fc chenu ambacho hata kupiga pasi 5 bila mpira kuguswa na wapinzani hawawezi!!!Hizi ramli zinaweza kuwasaidia wenye kubeti, lakini uhalisia ni tusubiri kutamatika kwa mechi zao.
Kuna mshangao mkubwa utatokea mwaka huu.
Timu saba tu?Kwa hiyo robo fainali Ina timu sana tu? Utopwinyo mna shida mahali
Leo nilikuwa nafuatilia matangazo ya kituo kimoja cha Luninga cha South Africa, makala yao ya Michezo ilitawaliwa na timu ya Yanga tuProbability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.ππ
Mamelodi.,........24%
Al ahly........20%
esperence ....14%
Petro atletico 12%
Young Africans .....10 %
Tp mazembe.......6%
Simba ........6%
Source...... African soccer zone
ππ
#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
Wewe lazima ni uto mkuu no doubtHatari mkuu...Simba tunadharaulika sana
Ambaye hapepesagi macho Kwa ukweli ni yule mnayemwitaga popoma pekeeπ π¦Si kweli mkuu...japo Napenda kuongea ukweli
AahaaaaHatari mkuu...Simba tunadharaulika sana
Ngoja amalizia futari utatafta pa kujificha mi simoπ π πPopoma...akili haipo sawa mkuu....
Waya inayo connect ubongo na mdomo ... sometimes Ina katika