Mbongo4life
Senior Member
- Nov 1, 2021
- 132
- 270
Mwezi wa nane mwakani mgeni anakuja mgeni ambaye wenzetu Ulaya wamemkataa lakini kama kawaida ya wazungu wakaamua kumleta Afrika na kama kawaida yetu tunamkumbatia bila kujali madhara yake kwa soka letu.
Kwa kiwango cha pesa kwenye super league na guarantee ya kutoshuka daraja Simba haitojali kuhusu ligi ya ndani plus haitokuwa na muda wa kucheza ligi ya ndani maana Super league ina timu 24 so ni league ya mwaka mzima.
Simba haiwezi kuhatarisha wachezaji wake kuumia dhidi ya mtibwa wakati wana mechi za Super league . We will the end of league yetu na utani wa jadi sababu simba hawatakuwa na huo muda.
Na hilo ndio lengo la banks na makampuni ya ulaya na marekani kuanzisha ligi moja tu kila bara duniani and use them for commercial purposes.