Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Bora tukacheze na timu zenye akili...tuwaache utopolo wacheze ligi yao ya ndondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani shida yenu timu zipate fedha au zirukeruke uwanjani huku njaa zikitamalaki?Ulaya mpaka mashabiki walionesha msimamo wao, Hapo Bongo mashabiki wa Simba wanashereka badala ya kulipinga kwa nguvu zote.
Yanga apenyeje kabla ya Namungo kupenya? [emoji23][emoji23]Kwa ajili ya maslahi ya ligi ni vizuri TFF kuchukua hiyo juhudi, hayo mashindano ya kianza baada ya miaka miwili tu utasikia timu zimeengenzwa na yanga imepenyezwa. Je hapo kutakua tena na ligi Tanzania? SIku zote waafrica huchelewa kunasa harufu ya majanga. Lakini hili la Super Ligi linakwenda moja kwa moja kuuwa Ligi zanyumbani Africa, Na chakusikitisha zaidi ni kuwa TZ ndio kwanza ligi yetu imeanza kuinuka.
Hahaha! Anataka utopolo apenye bila kupambana. Uto wanapenda mtelezo sana.Yanga apenyeje kabla ya Namungo kupenya? [emoji23][emoji23]
Nakuunga mkono, kuna watu humu ukisoma comment yake unajiuliza jina la mwalimu wake wa Maarifa ya Jamii.Huwa hamuwazi vitu na kudadili vitu bila kuingiza utoto wenu, hoja ni SUPER CUP wewe umekomaa na usajili. [emoji23]
Mashabiki wa ulaya wanaunga mkono ushoga kwa hiyo na sisi tuwaunge mkono kwa sababu tu ulaya wamekubali.Africa kuna mambo ya ajabu sana, Kitendo cha Bara a Ulaya kuipiga Knoout hii ligi ni uthibitisho tosha kuwa hii Ligi inakuja kubomoa na sio kujenga.
CAF na Vyama vya ndani vilitakiwa viungane juu ya hili. Ila CAF ndio chama kibovu zaidi katika mabara yote Duniani.
Kwa kifupi TFF ilitakiwa izifungie kucheza ligi timu zitakazo shiriki hii liki hio ndio njia sahihi ya kulinusuru Soka la Taifa.
"Kila bara"
Mashabiki wa ulaya wanaunga mkono ushoga kwa hiyo na sisi tuwaunge mkono kwa sababu tu ulaya wamekubali.
Wanaunga mkono kwenye Mpira rejea mechi ya PSG mchezaji was Senegal aliyogoma kucheza.Sisi tunazungumzia football hatuzungumzi mambo ya ushoga, Acha kuchanganya mambo.
Ila acha msifahamu itafika muda mtafahamu tu.
Mbona kama hamna tatizo chief maana itawafanya wachezaji kujifua vilivyo ili waweze kiendana na waghanaTatizo hiyo ligi itauwa ligi yetu ya home plus kwa kiwango hicho cha pesa wachezaji wetu ambao wataweza kuicheza ni wachache sana maana tunaweza hona ujio wa wachezaji toka pande zote za dunia
Yaani utafikiri ndiyo timu ya kwanza kuchukua ubingwa tangu dunia iumbwe
Wanaunga mkono kwenye Mpira rejea mechi ya PSG mchezaji was Senegal aliyogoma kucheza.
Tulipinge kwa ubaya gani hasa, au kwa sababu wazungu wamelikataa...Ulaya mpaka mashabiki walionesha msimamo wao, Hapo Bongo mashabiki wa Simba wanashereka badala ya kulipinga kwa nguvu zote.
Dah! Na wewe ni shabiki wa mpira !! Huu ni mwisho wa dunia. Sijui Afrika ina Mabara mangapi!!Simba anakwenda kushiriki kama klabu inayo ongoza Kwa uchawi barani Afrika Sasa Kila Bara linakwenda kutoa mwakilishi wake ambaye alikua tishio Kwa uchawi.
Tunatumai Simba haitatuangusha kwenye eneo Ilo.
Simba guvu moja.
Tulipinge kwa ubaya gani hasa, au kwa sababu wazungu wamelikataa...
kuna research yoyote imefanyika au ni jicho la tatu tuu , kama hii ligi inakuja na mpunga mzuri kiasi hicho kwa nini tusijalibu ikishindikana si kuicha inawezekana.. tusipinge tu kila kitu kwa sababu ni kipya lets try team zipate pesa za kujiendesha hii ligi ya ndani ni ya ridhaa unatoa bilion mbili kuandaa team unakuja kupata 600M nani hawa akina Mo na GSM ipo siku wataondokaHiyo ligi inaenda kuuwa ligi za ndani pamoja na Ligi za Club bingwa Afrika. Haihitaji hata jicho la tatu kujua hilo. Nahio ndio sababu kuu ya kukataliwa ulaya.
Sasa sisi kama waTZ ikiwa tupo tayari ligi yetu ambayo ndio kwanza imeanza kukua ife basi ni sawa.
kuna research yoyote imefanyika au ni jicho la tatu tuu , kama hii ligi inakuja na mpunga mzuri kiasi hicho kwa nini tusijalibu ikishindikana si kuicha inawezekana.. tusipinge tu kila kitu kwa sababu ni kipya lets try team zipate pesa za kujiendesha hii ligi ya ndani ni ya ridhaa unatoa bilion mbili kuandaa team unakuja kupata 600M nani hawa akina Mo na GSM ipo siku wataondoka
Ni ngumu kuelewa, ulizungumzia mashabiki wa ulaya walivyoandamana kupinga super league kama inayotaka kuanzishwa huku Afrika. Ninachokupinga sio lazima mashabiki was ulaya wakipinga kitu na sisi tupinge, ndio maana nikaingiza pale ulaya walivyopromote maswala ya ushoga hatukusikia mashabiki was huko wakipinga.Mkuu naona umeingiza mada ndani ya mada. Hii mada haina mahusiano na Ushoga.