African Super League inakuja kuua soka la Afrika

African Super League inakuja kuua soka la Afrika

Acha ije tuone , kukataliwa Ulaya hakuwezitoa picha ya moja kwa moja kuwa michuano hiyo haifai!
Kwakua ni seasonal game tutacheza then mwisho wa hiyo ligi itafanyika tathmini eidha kwa ajili ya maboresho au kuachana nayo ! Better try and fail But do not fail even to try!
 
Simba anakwenda kushiriki kama klabu inayo ongoza Kwa uchawi barani Afrika Sasa Kila Bara linakwenda kutoa mwakilishi wake ambaye alikua tishio Kwa uchawi.
Tunatumai Simba haitatuangusha kwenye eneo Ilo.
Simba guvu moja.
kila bara litatoa timu!!!!!!!!!!!!!! Duuuuh!
 
Ni ngumu kuelewa, ulizungumzia mashabiki wa ulaya walivyoandamana kupinga super league kama inayotaka kuanzishwa huku Afrika. Ninachokupinga sio lazima mashabiki was ulaya wakipinga kitu na sisi tupinge, ndio maana nikaingiza pale ulaya walivyopromote maswala ya ushoga hatukusikia mashabiki was huko wakipinga.
Hoja yako ingebase kwenye sababu zetu na sio sababu kwanini mashabiki was ulaya walichofanya.
Point ni kwamba walipinga kwa hoja ya msingi. Msingi ambao viongozi wa CAF sio kama hawajauona ila tamaa ya fedha ndio wameikea mbele. Lakini na mashabika kushindwa kulitambua hilo ndio la kusikitisha zaidi.
 
Back
Top Bottom