African Super League inakuja kuua soka la Afrika

Acha ije tuone , kukataliwa Ulaya hakuwezitoa picha ya moja kwa moja kuwa michuano hiyo haifai!
Kwakua ni seasonal game tutacheza then mwisho wa hiyo ligi itafanyika tathmini eidha kwa ajili ya maboresho au kuachana nayo ! Better try and fail But do not fail even to try!
 
Simba anakwenda kushiriki kama klabu inayo ongoza Kwa uchawi barani Afrika Sasa Kila Bara linakwenda kutoa mwakilishi wake ambaye alikua tishio Kwa uchawi.
Tunatumai Simba haitatuangusha kwenye eneo Ilo.
Simba guvu moja.
kila bara litatoa timu!!!!!!!!!!!!!! Duuuuh!
 
Point ni kwamba walipinga kwa hoja ya msingi. Msingi ambao viongozi wa CAF sio kama hawajauona ila tamaa ya fedha ndio wameikea mbele. Lakini na mashabika kushindwa kulitambua hilo ndio la kusikitisha zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…