Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa

Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa

Sasa unataka tuonyeshe picha za shule zote zilizopo Kenya ama? There are over 9,000 secondary schools alone in Kenya. Hapo hujaweka za msingi which are even way more. How do you want us to post all those? Kuna vitu zingine common sense should apply. Not everything calls for stupid battles and arguments
Tunaomba mtuwekee hizo hizo zinazowezekana kuwekwa, tena mtuwekee zile mnazoona the best km mm [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Vip wale wakenya wanao lala kwa zam
Hawa hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
JamiiForums901181976.jpg
JamiiForums2120786973.jpg
JamiiForums-482878275.jpg
 
Vip wale wakenya wanao lala kwa zam
Na Wakenya msitegemee kuja kuwa na inclusive economy km sisi never ever on this planet labda mbinguni, mana misingi ilishakosewa na Kenyatta tng kuanzisha hilo taifa, gap kati ya fukara na tajiri litazidi kukuwa maradufu, haiwezekani ije kuwa km Tz ambapo matajiri na maskini wapo mtaa mmoja wanaishi kwa amani kabisa.
 
Wenzako wanaona sifa kuishi south c na wazungu westland
 
wenzako wanaona sifa kuishi south c na wazungu westland
Hao wanaishi kwenye viaduct lkn wapo ambao hawaishi kwenye viaduct ila wanaishi huku, na wengi wa Wakenya wa humu jf wanaishi ktk mazingira haya, huwezi amini, Kenya is joke kaka [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

JamiiForums874723588.jpg
JamiiForums-948544064.jpg
JamiiForums138198007.jpg
JamiiForums779012716.jpg
 
Na Wakenya msitegemee kuja kuwa na inclusive economy km sisi never ever on this planet labda mbinguni, mana misingi ilishakosewa na Kenyatta tng kuanzisha hilo taifa, gap kati ya fukara na tajiri litazidi kukuwa maradufu, haiwezekani ije kuwa km Tz ambapo matajiri na maskini wapo mtaa mmoja wanaishi kwa amani kabisa.
Hii ndio unaita inclusive economy?
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Wallahi Wakenya mmekwama kinyama, hiki kipicha eti ndo ushahidi wenu kwmb mnaiweza Tz [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
How do you say that you live in an inclusive economy while almost a half of your population live in extreme poverty? Ama maana ya exclusive economy ndio hujui?
 
Which one of you bongos is sending their children to Kenyan schools?
 
umeona huyo mmoja anasema alkua darasa la tano tanzania amerudishwa hadi class 3 kenya
Ss mbn sisi tuna akili kuliko nyinyi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji90][emoji90]
 
Back
Top Bottom