Afrika bana, nchi yote ya Tanzania umeme umekatika

Nchi nzima Sijui umemaanisha nini? Nimelazimika kuhakiki, huku niliko upo na haujakatika tangu Asubuhi.
huko ulipo ni wapi? labda kama mnatumia majenereta kwenye mikoa ya kusini huko na kigoma .wanaopata kwenue gridi ya taifa hakuna umeme tangu asubuhi
 
MK254 KAKA embu naomba msaada wa jina la forum huko kenya kama jamii forums,embu tusaidieni kupaza sauti kuhusu hiyo cecafa challenge cup,wakiingia uwanjani hawa libya muwazomee kwa nguvu,let's shame CECAFA and main sponsor(azam tv) for inviting those slave masters

 
Halafu kukatika ghafla kwa umeme kunaleta madhara makubwa sana hadi vifo. Kuna wakati nilisikia tetesi kuwa watoto kadhaa pale mount meru waliokuwa kwenye incubators walifariki kwa katizo la umeme siku ile waziri husika alifoka na kutimua watu kwa style ya remote kama waume wenza flani hivi . Na je siku hizi zote unapokatika kila mara je kwenye mahospital yetu ya serikali yasiyo na standby generators nini hutokea. Imagine uko theatre sasa [emoji1495]. Hii habari ya mount meru ilifunikwa kwa gunia jeusi ila watoto walikufa. Hata wakae kimya Umeme kukatika katika hivi kuna madhara makubwa yanatokea kuliko kuharibikiwa samaki na nyama kwenye friji zetu.
 
Kwanza mashindano kufanyikia kenya nihovyo kabisa
hayana mvuto kabisa
yamedoda kupindukia
Na tayari Zimbabwe walisha jitoa
maana Usalama Wahovyo
 
Waziri Mwijage kasema wameanzisha viwanda 3000, kumbe vyote havitumii umeme?
 
Mambo ya kitaalamu jameni hayahitaji siasa...ukisikia Waziri anasema ooh umeme ukikatika kazi hakuna manake hii sio taaluma yeye aweke sera na upatikanaji wa pesa lakini hivi hivi hali halii mbaya kwasasa maeneo mengi umeme hakuna kabisa.
 
Kama umeme ni wa mgao wananchi tupewe taarifa ,ama kama kuna matengenezo pia tutaarifiwe
 
Ndiyo nchi ya viwanderr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…