Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Sasa kwenye xenophobia mbona wanatukimbiza?Wanaitwa vijana wa Nyerere kwa maana baba wa taifa anaheshimika sana pande za S.A
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwenye xenophobia mbona wanatukimbiza?Wanaitwa vijana wa Nyerere kwa maana baba wa taifa anaheshimika sana pande za S.A
Infantry Soldier njoo ujibu swali lako hapa. Usiingie mitini kijana wangu heheheheeeeeSasa kwenye xenophobia mbona wanatukimbiza?
Swali gani tena hilo kaka mkubwa?Infantry Soldier njoo ujibu swali lako hapa. Usiingie mitini kijana wangu heheheheeeee
CHADEMA wasaliti.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania eti;
Were there xenophobic attacks against black foreigners or there was diplomatic/political standoff between SOUTH AFRICA and NIGERIA?
Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba;
Mnamo mwanzoni mwa mwezi wa September mwaka jana 2019, vurugu mpya kabisa zilianza tena dhidi ya wageni waishio katika baadhi ya maeneo nchini Afrika ya Kusini.
Makumi ya watu waliuawa baada ya makundi ya watu wenye msimamo mkali kuvamia, kuiba na kuchoma moto maduka pamoja na magari katika maeneo kama Pretoria na Johannesburg.
Raia wa kutoka nchini Nigeria, ambao ndio waafrika wenye idadi kubwa waishio nchini humo, walikuwa miongoni mwa wahanga wakubwa waliolengwa katika mkasa huo.
Police wa Afrika ya Kusini walikamata watu wapatao 700 kutokana na vurugu hizo, habari ambazo zilisambaa ulimwenguni kote.
Raia kutoka katika mataifa mbalimbali walibeba vitu vyao na kuondoka nchini Afrika ya Kusini, miongoni mwao kulikuwa na raia takribani 600 kutoka nchini Nigeria, waliopanda ndege kwa gharama zao binafsi.
Hasira dhidi ya vurugu hizo zilitapakaa Afrika nzima na kisha Nigerians wakaamua pia kuchoma moto, kuiba na kushambulia Supermarkets kubwa zinazomilikiwa na raia wa South Africa pamoja na matawi ya kampuni ya mawasiliano ya MTN katika miji ya Lagos na Abuja.
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Waziri mkuu wa India Narendra anamkubali sana Rais Magufuli.

Sio raia wa South Africa wote wana roho mbaya. Kuna wengine wengi tu wana roho nzuri sana.Sasa kwenye xenophobia mbona wanatukimbiza?
Sawa mkuuWapopo = Wanigeria
Wabangu bangu = Wamsumbiji (Mozambique)
nzuri
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania eti;
Were there xenophobic attacks against black foreigners or there was diplomatic/political standoff between SOUTH AFRICA and NIGERIA?
Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba;
Mnamo mwanzoni mwa mwezi wa September mwaka jana 2019, vurugu mpya kabisa zilianza tena dhidi ya wageni waishio katika baadhi ya maeneo nchini Afrika ya Kusini.
Makumi ya watu waliuawa baada ya makundi ya watu wenye msimamo mkali kuvamia, kuiba na kuchoma moto maduka pamoja na magari katika maeneo kama Pretoria na Johannesburg.
Raia wa kutoka nchini Nigeria, ambao ndio waafrika wenye idadi kubwa waishio nchini humo, walikuwa miongoni mwa wahanga wakubwa waliolengwa katika mkasa huo.
Police wa Afrika ya Kusini walikamata watu wapatao 700 kutokana na vurugu hizo, habari ambazo zilisambaa ulimwenguni kote.
Raia kutoka katika mataifa mbalimbali walibeba vitu vyao na kuondoka nchini Afrika ya Kusini, miongoni mwao kulikuwa na raia takribani 600 kutoka nchini Nigeria, waliopanda ndege kwa gharama zao binafsi.
Hasira dhidi ya vurugu hizo zilitapakaa Afrika nzima na kisha Nigerians wakaamua pia kuchoma moto, kuiba na kushambulia Supermarkets kubwa zinazomilikiwa na raia wa South Africa pamoja na matawi ya kampuni ya mawasiliano ya MTN katika miji ya Lagos na Abuja.
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Have you ever lived in SA before?
Wazulu wapo kama wachagga, wanachagua sana kazi
Wazulu ni wavivu sanaWazulu wapo kama wachagga, wanachagua sana kazi
Kuna kipindi nilikuwa ninafanya kazi Cape Town (CT) aisee ndio niliamini kuwa hawa jamaa ni wavivu kwa maana mpaka kazi za kudeki choo zinafanywa na watu kutoka Zimbabwe na Msumbiji.Wazulu ni wavivu sana
Jamaa ameuliza swali la maana sana acha kumtoa katika mstariSwali gani tena hilo kaka mkubwa?
Na sisi pia tutawapiga wa sauzi waliopo huku TanzaniaSasa kwenye xenophobia mbona wanatukimbiza?
Anamtoa katika mstari wakati yeye mwenyewe yupo shallow in deepJamaa ameuliza swali la maana sana acha kumtoa katika mstari
...na Lissu ndio dada wa taifaCHADEMA wasaliti.
aisee...na Lissu ndio dada wa taifa