Afrika haitaendelea kwa kukataa kuungana

Afrika isiungane kwa usalama wa Waafrika.
 
Toa maelezo kidogo mkuu
Tumeona Nchi za kiafrika zilizoungana na kuishia kumezana kuuwana kubaguana.

Mfano mzuri ni Zanzi na huku kwetu Senegal na The Gambia Eritrea na Ethiopia Somalia na Somaliland
 
SADC,EAC,AU

Miungano ipo unayozungumzia?

Wewe unaionaje!

Hiyo miungano ni miungano kweli au kuna mkono wa Mzungu.. ipitie upya matukio yaliyotokea libya na mataifa mengine imechukua hatua gani! Hiyo miungano mkuu
 
Yaani Kagame aungane na Museveni! Paul Biah Nguema kina Bongo nk. Unawezaje kuunganisha nchi na watu wa aina hii.

Hao wenzetu kuna vyuma zaidi ya hivyo ila waliweza kuungana hao wana nini? Haswaa
 
Tumeona Nchi za kiafrika zilizoungana na kuishia kumezana kuuwana kubaguana.

Mfano mzuri ni Zanzi na huku kwetu Senegal na The Gambia Eritrea na Ethiopia Somalia na Somaliland

Tunashindwa kipi? Mkuu unafikiri tunaweza kukifanya machafuko na kuuana wenyewe kwa wenyewe yasitokee
 
Umoja ni nguvu popote pale na binadamu dunia nzima tunahitaji kufanya kazi kwa pamoja ili kukabiliana na mazingira yetu

Ila kwa unafiki, uchoyo, umimi na ubinafsi wa binadamu hatuwezi kuungana.., bado hatujapevuka na kustaarabika kwa kiwango hicho....

Na sababu hatuwezi kuungana kwa kugawana mapato tunaweza kusaidiana katika uzalishaji na research and development..., ni aibu kuona kuna baadhi watu wana njaa wakati pengine kuna watu wanakosa masoko..., tuna shida na nishati wakati tuna gesi. maporomoko, mafuta n.k.

Kwahio not Africa..., but the World we need to Unite ingawa practically ni ngumu tokana na ubinafsi
 
Tunashindwa kipi? Mkuu unafikiri tunaweza kukifanya machafuko na kuuana wenyewe kwa wenyewe yasitokee
Kwetu sisi bado sana kumbuka hata hii Jumuiya ya EAC wakati wa Magufuli alianzisha bifu lisilokuwa na maana dhidi ya Kenya na kama angeendelea kutawala hii Jumuiya ingesambaratika.
 
Safi sana mkuu.. maelezo mazuri sana .. kwa hivyo tuanzie wapi? Tuweze kuanza kuutengeneza muungano wa Africa hata kwa miaka 50 baadae yaani tuanze sasa
 
Kwetu sisi bado sana kumbuka hata hii Jumuiya ya EAC wakati wa Magufuli alianzisha bifu lisilokuwa na maana dhidi ya Kenya na kama angeendelea kutawala hii Jumuiya ingesambaratika.

Kwa hivyo haiwezekani hata baada ya miaka 50 tukianza sasa et!
 
Kuna haja ya kuwasingizia wazungu? Mbona adui zetu ni viongozi wetu wenyewe?

Kitendo cha cdm kudai katiba mpya anaonekana adui..unadhani kuna binadamu hapo au unyani tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Safi sana mkuu.. maelezo mazuri sana .. kwa hivyo tuanzie wapi? Tuweze kuanza kuutengeneza muungano wa Africa hata kwa miaka 50 baadae yaani tuanze sasa
Shida binadamu naturally ni mchoyo na mbinafsi anajipenda yeye na wa kwake kuliko wengine..., Hivyo huenda muda ukifika binadamu watapata uelewa kwamba kwa kuungana wote tutapata zaidi kuliko kwa kutokuungana..., Pia gundua kwamba system ya Ubepari na Competition inaenda against muunganiko bali ni individuality na kuwa opportunistic....

Tuanzie wapi ?, Tunahitaji misingi ambayo itahakikisha wote walioungana wanafaidika na inaonekana kabisa kwamba wanafaidika sababu unaweza ukatengeneza misingi leo ya muungano kesho akaja chizi akavunja muungano (hivyo ni wananchi wenyewe kupenda muungano na kuishi kama ndugu / binadamu na sio viongozi ku-force huo muungano ambao wananchi hawaoni faida yake)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…