Aizna
JF-Expert Member
- Jan 3, 2022
- 1,348
- 1,652
- Thread starter
- #21
Shida binadamu naturally ni mchoyo na mbinafsi anajipenda yeye na wa kwake kuliko wengine..., Hivyo huenda muda ukifika binadamu watapata uelewa kwamba kwa kuungana wote tutapata zaidi kuliko kwa kutokuungana..., Pia gundua kwamba system ya Ubepari na Competition inaenda against muunganiko bali ni individuality na kuwa opportunistic....
Tuanzie wapi ?, Tunahitaji misingi ambayo itahakikisha wote walioungana wanafaidika na inaonekana kabisa kwamba wanafaidika sababu unaweza ukatengeneza misingi leo ya muungano kesho akaja chizi akavunja muungano (hivyo ni wananchi wenyewe kupenda muungano na kuishi kama ndugu / binadamu na sio viongozi ku-force huo muungano ambao wananchi hawaoni faida yake)
Safi sana mkuu.. nzuri sana hii kiongozi