Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo wengi

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo

Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba pasipo kuandika mashahiri, kupiga vyombo vya muziki hasa Guitar kwa kiwango cha juu sana pamoja na sauti ya kubembeleza
1000100810.jpg

Madilu System huyu alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuimba, kushusha na kupandisha vocal kwa usahihi lakini pia uvaaji wake hasa wa Tinted Glass mawani nyeusi umekuwa ukiwavutia wanaume wengi sana wa Afrika
Ukitaka kufahamu maana ya Professional musician sikiliza namna Key zinavyobadilika katika wimbo wa Sansa Ya Papier mapigo yanashuka na kupanda kwa utaalamu mkubwa
1000100809.jpg

View: https://youtu.be/Sj-1oHlXGU0?si=_apfW_JL0BRLnZ9W

Papa Wemba huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kupanda kwenye key za juu sana za vocal pamoja ma mashahiri ya kumtoa nyoka pangoni
1000100811.jpg

Sama Mangwana uwezo wake mkubwa upo kwenye mashahiri mazuri na matamshi matamu ya lugha ya Kifaransa
1000100812.jpg

Wasanii wa rika hili ndio walitamanisha bara la Afrika kuipenda nchi ya Congo pamoja na kujifunza Kifaransa, Kituba, Lingala na Tshiluba maneno kama Yamboka sio mageni Tanzania na Afrika kwa ujumla

Ipo idadi kubwa sana ya rika hili naomba jaza majina yao katika comment ili tunoneshe uzi huu

Leo nakwachia nyimbo hizi ukalale nazo

View: https://youtu.be/Gqvi0zdN-tM?si=GIP4y-wX_4F0mzVn

View: https://youtu.be/bVh954GgcmQ?si=af-8Rlhrq_2ZUUqQ

View: https://youtu.be/791iA349esw?si=9Pm_ori_T2tZzWnd

View: https://youtu.be/m02_JV0rOHQ?si=9jzoHh3_xFzbD9lq
 
Attachments

  • 1000100809.jpg
    1000100809.jpg
    28.5 KB · Views: 48
  • 1000100810.jpg
    1000100810.jpg
    45.1 KB · Views: 50
Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo

Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba pasipo kuandika mashahiri, kupiga vyombo vya muziki hasa Guitar kwa kiwango cha juu sana pamoja na sauti ya kubembeleza
View attachment 3326306

Madilu System huyu alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuimba, kushusha na kupandisha vocal kwa usahihi lakini pia uvaaji wake hasa wa Tinted Glass mawani nyeusi umekuwa ukiwavutia wanaume wengi sana wa Afrika
View attachment 3326305

Papa Wemba huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kupanda kwenye key za juu sana za vocal pamoja ma mashahiri ya kumtoa nyoka pangoni
View attachment 3326295

Sama Mangwana uwezo wake mkubwa upo kwenye mashahiri mazuri na matamshi matamu ya lugha ya Kifaransa na Congolese
View attachment 3326304

Wasanii wa rika hili ndio walitamanisha bara la Afrika kuipenda nchi ya Congo pamoja na kujifunza Kifaransa, Kituba, Lingala na Tshiluba maneno kama Yamboka sio mageni Tanzania na Afrika kwa ujumla

Ipo idadi kubwa sana ya rika hili naomba jaza majina yao katika comment ili tunoneshe uzi huu

Leo nakwachia nyimbo hizi ukalale nazo

View: https://youtu.be/Gqvi0zdN-tM?si=GIP4y-wX_4F0mzVn

View: https://youtu.be/bVh954GgcmQ?si=af-8Rlhrq_2ZUUqQ

Fere Gola akitulia anaweza.
 
Vipi kuhusu Fally Ipupa
 
Hao jamaa walikuwa na vipaji vikubwa
 
Madilu alikuja baadae
Wakongwe wa TP Ok
Le poet Lutumba Masiya Simaro
Josky Kiambukuta
Vicky Longomba baba yake Awilo
Franco alikuwa na uwezo wa kuimba na kusoloist at the same time
Pia ukizungumzia best 10 ya Zaire lazima umtaje Tabu Ley rival wa Franco
Koffi ndiye bingwa wa vocals..anaimba sauti zote..ukibisha sikiliza kwanza wimbo wake wa Fouta Djallon 😎
 
Madilu alikuja baadae
Wakongwe wa TP Ok
Le poet Lutumba Masiya Simaro
Josky Kiambukuta
Vicky Longomba baba yake Awilo
Franco alikuwa na uwezo wa kuimba na kusoloist at the same time
Pia ukizungumzia best 10 ya Zaire lazima umtaje Tabu Ley rival wa Franco
Koffi ndiye bingwa wa vocals..anaimba sauti zote..ukibisha sikiliza kwanza nyimbo yake ya Fouta Djallon 😎
Hatari sana mkuu umeua hawa walikuwa moto wa kuotea mbali
 
Back
Top Bottom