Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo wengi

Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo wengi

Walitisha mazee ,nyimbo huchoki kusikiliza
Siyo manyimbo yenu ya siku hizi haya 😎
 
Ukitaka kufahamu maana ya Professional musician sikiliza namna Key zinavyobadilika katika wimbo wa Sansa Ya Papier mapigo yanashuka na kupanda kwa utaalamu mkubwa


View: https://youtu.be/Sj-1oHlXGU0?si=_apfW_JL0BRLnZ9W

Hii ni nyimbo ya Franco matata ya muasi na mobali,Madilu ali copy.
Leading vocalists Franco,Josky Kiambukuta.
Siku hizo Madilu bado alikuwa hajulikani,hajajiunga na TP Ok
 
Hii ni nyimbo ya Franco matata ya muasi na mobali,Madilu ali copy.
Leading vocalists Franco,Josky Kiambukuta.
Siku hizo Madilu bado alikuwa hajulikani,hajajiunga na TP Ok
Sawa sawa sikiliza namna anavyobadilisha mapigo hapo kuanzia kwenye sekunde 2:47 hawa jamaa walikuwa professional
 
Walitisha mazee ,nyimbo huchoki kusikiliza
Siyo manyimbo yenu ya siku hizi haya 😎
Utaalamu wao wa kupiga vyombo ni wa hali ya juu sana Guitar inapigwa kwa ufundi wa hali ya juu sana
 
Back
Top Bottom