Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Mkuu najua umetoa mfano tu, lakini Mali hawajafikisha hata nusu ya hayo magari laki sita.Ni kweli maana unakuta nchi nzima ina magari labda laki sita na katika hayo laki tano yapo Capital city Bamako [emoji38][emoji38]
Makadirio kwa sasa Tz yatakuwa mangapi?Mkuu najua umetoa mfano tu, lakini Mali hawajafikisha hata nusu ya hayo magari laki sita.
December 2015 Mali ilikuwa na magari 203,000.
December 2014 ilikuwa na magari 192,000
Mali Registered Motor Vehicles, 2005 – 2024 | CEIC Data
Mali Motor Vehicle Registered was reported at 203.000 Unit th in Dec 2015. This records an increase from the previous number of 192.000 Unit th for Dec 2014.www.ceicdata.com
Data za Tanzania mpaka 2015 zipo kwenye link hapa chini, magari yalikuwa 380,000.
Tanzania Registered Motor Vehicles, 2005 – 2024 | CEIC Data
Tanzania Motor Vehicle Registered was reported at 380.000 Unit th in Dec 2015. This records an increase from the previous number of 370.400 Unit th for Dec 2014.www.ceicdata.com
Hadi kufa kwa huo moshi,huchukua muda gani?Chagua kufa kwa maradhi yatokanayo na moshi wa magari au kusafiri kwa punda.--- NB: magari YA MTUMBA yaliyopo Africa yanatosha.
Tuna Kila kitu hadi uraniumHivi Tanzania tuna aluminium!?
Jioni hii BBC Dira wamesema Afrika ina asilimia 3 ya magari yote duniani.
Ikabidi nichimbe nikakutana na hii.
Kufikia mwisho wa robo ya kwanza ya 2022, kulikuwa na takriban magari bilioni 1.45 ulimwenguni, ambayo karibu bilioni 1.1 ni magari ya abiria.
Hiyo ina maana kwamba kuna gari kwa kila watu 7.18 kwenye sayari dunia.
Bara la Antaktika hadi wakati huo lilikuwa na magari 50 tu na mengi ya hayo hayatumii magurudumu.
Kwa mujibu wa Hedges & Company, karibu theluthi moja ya magari yote yako katika eneo la Asia-Pasifiki, eneo la dunia ambalo lina magari milioni 531.
Hii ni pamoja na magari milioni 21 yaliyosajiliwa nchini Australia, kulingana na data ya ABS.
Ulaya ni bara la pili kwa wingi wa magari baada ya Asia, likiwa na magari milioni 405.3 (asilimia 28) yaliyoenea katika nchi za EU na zisizo za EU.
Amerika Kaskazini - ambayo inajumuisha Kanada na Mexico - inamiliki magari milioni 351 (asilimia 24), ambayo milioni 290.8 yako Marekani.
Baada ya hapo kuna mabara yenye magari machache mno kama vile bara la AFRIKA lenye magari ASILIMIA 3 tu.
Mengi ya hayo magari ya Afrika ni mkono wa pili.
Amerika ya Kusini ina magari milioni 83
Mashariki ya Kati ina magari milioni 49.
Afrika katika uchache ina magari milioni 26 tu.
Antaktika ina magari 50 tu.
MY TAKE
• Tupunguze kodi ya magari ili kuongeza idadi ya magari hasa commercial vehicles. Magari hasa ya abiria ya kibiashara/umma ni kichocheo cha uchumi
• Tuhamasishe investors kuanzisha car assembly factories
• Tujenge miundombinu ya barabara zitakazovutia watu na taasisi kuleta magari zaidi.
MAGARI NI MUHIMU SANA KATIKA KUUKIMBIZA UCHUMI. KILA KUNAPOKUCHA MAGARI NDIYO YANAUBEBA UCHUMI WETU.
AFRIKA HOIYEE, TANZANIA HO
Hapo Dar foleni zimewashinda na bado mnatamani kuongeza magari?!
Hii ya magari ya biashara kupigwa ushuru mkubwa inaumiza sana. Imagine coaster mayai used inatafuta 80 pia tipper hata dogo la tani 5 bila milioni 50 huchukui, hizi kodi za importation inafaa ziangaliwe upyaNchi kama chuma chakavu cha BMW ya 2021 kodi yake si chini ya Tsh 50 milioni au Fusso Tipper inatakiwa eti uwe na 80 m ili uishike mkononi unategemea hiyo 3% itaongezeka wao vitu vya kujenga Nchi wameweka kodi kubwa na vinaongeza gharama ya ujenzi na usafirishaji wa bidhaa huku % kubwa ya raia wao wakijificha kwenye bajaji na bodaboda...
Hukujamba wakati unasisimka?Uzi umenisisimua
Waondoe VAT kwenye New CarsHii ya magari ya biashara kupigwa ushuru mkubwa inaumiza sana. Imagine coaster mayai used inatafuta 80 pia tipper hata dogo la tani 5 bila milioni 50 huchukui, hizi kodi za importation inafaa ziangaliwe upya
Wamedumaza maendeleo hatuna viongozi hapo unawezaje kulipia Tipper eti 50m wakati Nchi wanayouza hayo magari used yanauzwa kama chakavu viongozi hawawezi kupunguza kwa sababu wataona wanapunguza mapato yanayopatikana kirahisi ila inakera sana ndio maana unaona wengi wanajificha kwenye fusso wakiacha ma Truck ya maana hata ukiangalia hizi bara bara zinazojengwa pana muda magari yenye namba za kigeni ndio yatajaa kuleta mizigo huku Watanzania wakibaki kusifia 113 Scania ya 1982 sijui huko wakati tupo kwenye G 460 Scania..wanazotumia Wasomali wanaoishi Tanzania na Watanzania wachache sana...Hii ya magari ya biashara kupigwa ushuru mkubwa inaumiza sana. Imagine coaster mayai used inatafuta 80 pia tipper hata dogo la tani 5 bila milioni 50 huchukui, hizi kodi za importation inafaa ziangaliwe upya
Tuna eneo pana. Mimi kilo changu washushe ushuru angalau kwa magari ya MIZIGO na ABIRIA(Commercial) ili tuwezeshe uchumi kutembea kwa haraka. Ushuru wetu wa magari uno juu sana, unakosa uhalisia wa maisha halisi ya Mtanzania.Barabara na sehemh za kuya paki kwanza...