Afrika ina Asilimia 3 tu ya magari yote duniani

Afrika ina Asilimia 3 tu ya magari yote duniani

Barabara za lami tuu ni shida! Roads network za hovyo kabisa.
 
Hadi kufa kwa huo moshi,huchukua muda gani?


Ni sumu inayoua taratibu, hayo magari huko Ulaya, japani na America yamewekewa kwenye ("exhaust pipe" ) bomba la moshi kitu kinachoitwa; catalytic converter (masega), hicho kifaa kazi yake ni kuchuja sumu zisitoke nje kupitia moshi baada ya mafuta kuunguzwa katika injini, wenzetu huko kwao wanahakikisha kila gari inacho hicho kifaa na kinafanya kazi sawasawa, magari mengi yanayoletwa huku kwetu ni second hand ambapo vifaa hivyo huwa tayari vimesha chakaa na hivyo kuruhusu sumu zitoke kupitia moshi bila kuchujwa, mbaya zaidi hakuna uangalizi, ukaguzi na udhibiti juu ya vifaa hivyo kujua uwezo wa utendaji wake, katika hali hiyo je magari yakiongezeka huku kwetu hali za afya zetu zitakuaje??!;--- kumbuke Wahenga walisema; Ukitaka raha pia kumbuka na karaha zake.
 
Miji yote duniani ina mafoleni ni vile tunatofautiana tu waiting time lakini nchi kibao zina hii shida. Muhimu tupate uwezo wa watu binafsi kuagiza magari mapya
Japokuwa tuna magari machache ila tuna foleni pia ambayoo haieleweki
 
Back
Top Bottom