sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Wenye dini yetu ndio tupo mstari wa mbele kuhoji, YES!! Afrika ndio sehemu yenye wakatoliki wengi zaidi duniani na hatuwezi kukubaliana na huu waraka unaoenda kinyume kabisa na maadili yetu,
Pongezi ziende kwa nchi za Afrika ambazo zipo mstari wa mbele kututetea waumini, Walianza Malawi, akaja Zambia, Kenya na sasa ni Nigeria.
HAWAJAKURUPUKA !! Nchi hizi wanaongea na kukielewa kiingereza kilichotumika kwenye chapisho la waraka kuliko wewe mtanzania unaetetea kwamba waraka haujaeleweka vizuri ilhali kiingereza kinakupa taabu.
Waraka original upo katika tovuti ya makao makuu ya kanisa Katoliki, Vatican >> Dichiarazione “Fiducia supplicans” sul senso pastorale delle benedizioni del Dicastero per la Dottrina della Fede