cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ya watz walio wengi english tumefundishwa kwa kiswahili, hapo ndo penye tatizo kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ya watz walio wengi english tumefundishwa kwa kiswahili, hapo ndo penye tatizo kubwa.
Umeongea ukweli mtupuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Papa ndie mwenye kanisa, kanisa ni mali ya warumi/waitalia.
Wenye kanisa wamesema lazima kubariki ndoa za mashoga, lazima mashoga wapate baraka za mungu na ni lazima hilo halina ubishani.
Sasa kama kuna kiongozi yeyote anaona hataki aachane na kanisa la watu aanzishe la kwake.
Papa ndie mmiliki wa kanisa, chochote anachokisema lazima kitekelezwe, yeye ndie baba mtakatifu, mtu pekee mtakatifu hapa Duniani ambae anaongea na Mungu moja kwa moja hivyo aliyoyasema ni maelekezo ya Mungu mwenyewe, anataka mashoga apate baraka zake.
Kama kuna kiongozi wa kanisa, awe padri, askofu, Katekista ama kadinali ambae hakubaliani na maelekezo ya baba mtakatifu aondoke, aache kanisa la baba mtakatifu papa Francis, aende aanzishe kanisa lake.
Papa ndie msemaji wa kanisa, neno lake ni amri, ni utekelezaji tu.
Anaeona hawezi aachane na kanisa akaanzishe la kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waraka wa Papa sio batili, batili ni akili zenu zinazousoma huo waraka.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wanavhekesha hawa kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania wa ajabu sana,eti dini yenu.Hiyo ni dini tena utamaduni wa Warumi wa huko Italy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu dini kaletewa, leo anajiona yeye ndo mwenye dini kuliko walio leta, km si upumbavu na ujinga ila nn?Watu weusi mlioletewa dini kwa mikakati ya watu weupe mnajiona mna dini kuliko wenye mikakati yao?
Wanaorun dunia wakiamua lao, hamuwezi kuwazuia. If you can't fight them join them.
ndugu kuna wa2 wajua kiingereza...lakini uwezi amini bado wanapotosha ukweli kisa wao ni wakatoliki,,,yaani dagaa{muumini anajifanya anajua kuliko kambale-askofu}Shida ya watz walio wengi english tumefundishwa kwa kiswahili, hapo ndo penye tatizo kubwa.
Kanisa Katoliki ni la Yesu Kristu, sio la Papa.Papa ndie mwenye kanisa, kanisa ni mali ya warumi/waitalia.
Wenye kanisa wamesema lazima kubariki ndoa za mashoga, lazima mashoga wapate baraka za mungu na ni lazima hilo halina ubishani.
Sasa kama kuna kiongozi yeyote anaona hataki aachane na kanisa la watu aanzishe la kwake.
Papa ndie mmiliki wa kanisa, chochote anachokisema lazima kitekelezwe, yeye ndie baba mtakatifu, mtu pekee mtakatifu hapa Duniani ambae anaongea na Mungu moja kwa moja hivyo aliyoyasema ni maelekezo ya Mungu mwenyewe, anataka mashoga apate baraka zake.
Kama kuna kiongozi wa kanisa, awe padri, askofu, Katekista ama kadinali ambae hakubaliani na maelekezo ya baba mtakatifu aondoke, aache kanisa la baba mtakatifu papa Francis, aende aanzishe kanisa lake.
Papa ndie msemaji wa kanisa, neno lake ni amri, ni utekelezaji tu.
Anaeona hawezi aachane na kanisa akaanzishe la kwake.
Hata mimi nimefikiria hivo.
Natamani nimpige papa kwa radi hadharani nimkaushe hapo hapo, dunia ikiona itetemekeWenye dini yetu ndio tupo mstari wa mbele kuhoji, YES!! Afrika ndio sehemu yenye wakatoliki wengi zaidi duniani na hatuwezi kukubaliana na huu waraka unaoenda kinyume kabisa na maadili yetu,
Pongezi ziende kwa nchi za Afrika ambazo zipo mstari wa mbele kututetea waumini, Walianza Malawi, akaja Zambia, Kenya na sasa ni Nigeria.
HAWAJAKURUPUKA !! Nchi hizi wanaongea na kukielewa kiingereza kilichotumika kwenye chapisho la waraka kuliko wewe mtanzania unaetetea kwamba waraka haujaeleweka vizuri ilhali kiingereza kinakupa taabu.
Waraka original upo katika tovuti ya makao makuu ya kanisa Katoliki, Vatican >> Dichiarazione “Fiducia supplicans” sul senso pastorale delle benedizioni del Dicastero per la Dottrina della Fede
View attachment 2849148
Kanisa ni la Papa, hakuna kanisa la Yesu.Kanisa Katoliki ni la Yesu Kristu, sio la Papa.