Afrika inalaani na kukemea: Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki nchini Nigeria nao wameungana na Malawi, Kenya, Zambia kuhoji waraka wa Papa Francis

Umeongea ukweli mtupuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu weusi mlioletewa dini kwa mikakati ya watu weupe mnajiona mna dini kuliko wenye mikakati yao?
Wanaorun dunia wakiamua lao, hamuwezi kuwazuia. If you can't fight them join them.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu dini kaletewa, leo anajiona yeye ndo mwenye dini kuliko walio leta, km si upumbavu na ujinga ila nn?
 
Kwani Vice President na Spika Tulia wanasemaje!!!

Au wanaendeleza msimamo wao kama ilivyokua kwa waraka wa DP-World...
 
Papa ndiyo kwanza anaanza.

Kawaambia wakiritimba wa Vatican waache kukumbatia itikadi zisizobadilika ambazo zinawazuia kuelewa ukweli wa leo.

Maana yake ni kwamba kuna mabadiliko zaidi yanakuja.

Huu ni mwanzo tu.

Ukishaelewa hakuna Mungu, na hizi dini ni vyama vya siasa za kale zilizovishwa joho la utakatifu wa Mungu asiyepo tu, haya mengine hayatakushangaza.

 
Shida ya watz walio wengi english tumefundishwa kwa kiswahili, hapo ndo penye tatizo kubwa.
ndugu kuna wa2 wajua kiingereza...lakini uwezi amini bado wanapotosha ukweli kisa wao ni wakatoliki,,,yaani dagaa{muumini anajifanya anajua kuliko kambale-askofu}
 
Kanisa Katoliki ni la Yesu Kristu, sio la Papa.
 
Natamani nimpige papa kwa radi hadharani nimkaushe hapo hapo, dunia ikiona itetemeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…