Afrika kila Rais akiingia madarakani anasema amekuta hali ya uchumi ni mbaya. Je, ni lini uchumi wetu utaimarika?

Afrika kila Rais akiingia madarakani anasema amekuta hali ya uchumi ni mbaya. Je, ni lini uchumi wetu utaimarika?

CIA mgumu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2022
Posts
962
Reaction score
1,934
Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu.

Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika.

Screenshot_20220919-074530_Facebook.jpg
 
Wakenya hawana uswahiliswahili sana, huenda wanasema ukweli, sio sisi wazee wa ngwasuma ni "sound" mpaka Yesu anatia timu.
 
Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu

Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika

Muda utaongea ni nani mkweli,mradi tu wasije kuzikana kauli zao za awali.

Ahadi ni Deni.
 
Muda utaongea ni nani mkweli,mradi tu wasije kuzikana kauli zao za awali.

Ahadi ni Deni.
Tatizo mwishoni hawatwambii kama uchumi umekaa sawa au bado, na akija mwingine atarudia kusema hivyo hivyo
 
sio marais tu hata wakuu wa taasisi wakiteulia huponda waliotangulia. hizo ni gia za kusnzia tena za hovyo tu. zamu yake naye itakuja.
Huenda hata sisi Wapinzani tukishaichukua Nchi tutasema tupewe muda CCM imeifilisi Nchi.

Siasa zetu za Kiafrika ndizo zilivyo.
 
Halafu nae alikuwa ni sehemu ya madaraka hizo huwa ni swaga zao
 
Back
Top Bottom