Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Excuses za ku buy time,baadae watakuja na sababu zingine..Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu.
Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika.
Wangekua hawana uswahili wangekua level moja na western countriesWakenya hawana uswahiliswahili sana, huenda wanasema ukweli, sio sisi wazee wa ngwasuma ni "sound" mpaka Yesu anatia timu.
Ni jibu la kihun eti tupen miez mitatuExcuses za ku buy time,baadae watakuja na sababu zingine..
Kwa hiyo ndani ya siku 100 ndio umeme utashuka,vyakula vitashuka,mafuta yatashuka na ufisadi utaishia?
Ni wajinga tuu ndio wanaweza wategemea wanasiasa kuimarisha maisha yao..
Huwa wanasema kwamba Siku 100 ndio kipimo cha kwanza baaada ya fungate kuisha.Ni jibu la kihun eti tupen miez mitatu
Nimesema hawana uswahili sana.Wangekua hawana uswahili wangekua level moja na western countries
😅😅😅😅Excuses za ku buy time,baadae watakuja na sababu zingine..
Kwa hiyo ndani ya siku 100 ndio umeme utashuka,vyakula vitashuka,mafuta yatashuka na ufisadi utaishia?
Ni wajinga tuu ndio wanaweza wategemea wanasiasa kuimarisha maisha yao..