Mie napenda commedy sana kwa kuwa nilikuwa Nina ndoto za kuwa stand up commedian. Nilikuw naandika scrip za commedy nzuri tu. .
Bahati nzuri mwaka 2018 nilikuw Niko kwenye circle nzuri ya watu maarufu America. One of a friend alikuw pia ana friend ambae ni commedian nakumbuka nilimuonyesha some scripts akasema good writing tho alinambia Sina maneno mengi ya kingereza. Ila alinipa USD 4000 nimuuzie commedy zangu. .
Nilikuwa pia nina autograph za two commedian one of them is well known. Nikaja ziuza kwa jamaa mmoja Yuko Switzerland. .
Ila now hapa home nimebakia na autograph ya mzee mmoja maarufu pia anaitwa Robert Crumb. .