Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

Mie napenda commedy sana kwa kuwa nilikuwa Nina ndoto za kuwa stand up commedian. Nilikuw naandika scrip za commedy nzuri tu. .

Bahati nzuri mwaka 2018 nilikuw Niko kwenye circle nzuri ya watu maarufu America. One of a friend alikuw pia ana friend ambae ni commedian nakumbuka nilimuonyesha some scripts akasema good writing tho alinambia Sina maneno mengi ya kingereza. Ila alinipa USD 4000 nimuuzie commedy zangu. .

Nilikuwa pia nina autograph za two commedian one of them is well known. Nikaja ziuza kwa jamaa mmoja Yuko Switzerland. .

Ila now hapa home nimebakia na autograph ya mzee mmoja maarufu pia anaitwa Robert Crumb. .
Hongera ila sabinus noma
 
Sabinus bongo mnahela ya kumlipa?

Mtu daily show UK
🤣 UK anaperform wapi? Tuonyeshe video clips zake

Trevor Noah is earnings 16 millions USD per commedy central peke yake acha other means of money. Kazi yake inamlipa vyema kaitendea haki. .
 
Nimemwelez kwamba Hana lolote analojua kuhusu commedy

Kwa sababu anamjua commedian mmoja tu.

Usikute amekaa sehemu anapiga mzinga k vantanatuzingua tu hapa. .
Dah pole mkuu, Trevor Noah hajakichekesha basi hujui Comedy kweli...Huyo anahost shows USA...
 
Mleta uzi umekaza sana fuvu. Huyo Sabinus hafahamiki kabisa. Pia wanaosema Trevor Noah anachekesha nashangaa sana. Huyo Noah anachekesha mabeberu ambao mambo yanayowachekesha hayana uhalisia wa maisha yetu. Mimi naona wachekeshaji wa kinaijeria wengi wanaweza. Hata hapa kwetu nachekeshwa mno na mtu anaitwa maneno 10 huwa anaonekana wasafi.
 
Mama kalale usiku huu 😬
 
Kama lugha inakupiga chenga huwezi ona T. Noah anachekesha nini. Sabinus anabebwa na population kubwa ya Nigeria hivyo ana mashabiki wengi kule, na ni kawaida yenu kitu kikitrend Nigeria mnaona ndio the best hapa Afrika
Wanigeria jokes zao kwanza ni so straight, Trevor Noah kama hujui jokes ndo utaishia kuwaangalia hao kina Sabinus....T. Noah ni level ya kina Kelvin Halt...Huyo Sabinus hamfikii hata Blackson
 
[emoji1787] UK anaperform wapi? Tuonyeshe video clips zake

Trevor Noah is earnings 16 millions USD per commedy central peke yake acha other means of money. Kazi yake inamlipa vyema kaitendea haki. .
Msearch tu Twitter utaona ratiba yake ya December UK TOUR miji Anayo perform
 
Nimemwelez kwamba Hana lolote analojua kuhusu commedy

Kwa sababu anamjua commedian mmoja tu.

Usikute amekaa sehemu anapiga mzinga k vantanatuzingua tu hapa. .
Mzinga umeingiaje apo
 
Mleta uzi umekaza sana fuvu. Huyo Sabinus hafahamiki kabisa. Pia wanaosema Trevor Noah anachekesha nashangaa sana. Huyo Noah anachekesha mabeberu ambao mambo yanayowachekesha hayana uhalisia wa maisha yetu. Mimi naona wachekeshaji wa kinaijeria wengi wanaweza. Hata hapa kwetu nachekeshwa mno na mtu anaitwa maneno 10 huwa anaonekana wasafi.
Wewe umekaza nini tako?
 
Wanigeria jokes zao kwanza ni so straight, Trevor Noah kama hujui jokes ndo utaishia kuwaangalia hao kina Sabinus....T. Noah ni level ya kina Kelvin Halt...Huyo Sabinus hamfikii hata Blackson
Unapamba mavi maua
 
Sasa wewe hujui hata Cheka tu unajua Sabinus [emoji1787][emoji1787]
Niangalie uchafu wa bongo mm nafuatili watu waliona verification kwenye account zao Instagram na Twitter ila wenye account kama zangu non verified sipotezi mda
 
Back
Top Bottom