Afrika Kusini: Imam Muhsin Hendricks Aanzisha Msikiti kwa ajili ya LGBT Muslims Duniani

Afrika Kusini: Imam Muhsin Hendricks Aanzisha Msikiti kwa ajili ya LGBT Muslims Duniani

Ushoga ktk mashariki ya kati ulianza enzi na enzi sasa nashangaa kama leo mtu anaongelea ushoga wa Ulaya tu wakati leo hii hata Tanzania mashoga ni wengi.

Hii ni dhambi tu kama dhambi nyingine ambayo haina mpaka na haibagui dini, kabila wala jinsia.

Biblia imeyasema haya kwamba ktk siku za mwisho dhambi zitaongezeka na ktk nchi za kiislamu hii dhambi haiwekwi wazi na inafichwa sana. Itakumbukwa kwamba walioleta mambo ya ushoga ktk Afrika Mashariki walikuwa ni waarabu wakati wakifanya biashara haramu ya utumwa.
 
Huyu ni mchumia tumbo.

Aidha hana uislam wowote ila kapewa fedha apromote huo ujinga ama huenda ALIKUWA muislam kweli ila kaamua kuisaliti imani yake kwa ajili ya DUNIA đź’· đź’µ
 
Huo ni uchokozi SAsa kwann achafue dini za watu aanzishe ya yake.Huyo hukumu yake sahihi akatwe kichwa.
Mtakata wangapi vichwa?

#MaendeleoHayanaChama
JamiiForums-586891715.jpg
 
Hawatakagi wajulikane hadharani vile wanavyovifanya mafichoni...ila ndio waumini wakubwa wa hizo harakati...unafiki mtupu.

#MaendeleoHayanaChama

Uislamu unakataza huu uchafu, kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia, huenda anatumiwa kuuchafua uislamu, au yeye sio muisilamu, au muislamu jina kwa maana haufuati uislamu. Hapo kuna mengi yamejificha. So msikimbilie kushabikia vitu bila kujua chanzo ni nini
 
Naunga mkono hoja.
 
Ndio hoja ambayo mmebakiza..eti katumwa..can you please mje na majibu mengine ya kueleweka hilo hata mtoto mdogo ataona mnatafuta kichaka cha kujificha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom