Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Sio muislamu huyo kijana rekebisha uislamu ni yule anayefuata matendo ya mtume na kumtii mungu mkuu ana jina la kiislamu ila sio muislamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo inatusaidia nini sisi.
Fahamu kua Tabia yoyote ikifuhusiwa na kukubalika kwa jamii hiyo tabia inazoeleka na kua ni tabia ya kawaida hata kama ni mbaya.Mimi nazani haya mambo na utashi wa mtu pia unachangia, hakuna mtu anashikiwa bunduki au bastola afungamane na tabia hizo. Hakuna kitu nachukia kama hii mijitu yaani natamani ningekuwa na uwezo niteketeze yote.
Wavakobazi wameharibiwa sana na waarabu wazee wa kisamvu cha kopo.Waarabu ndiyo walioichafua Dunia Kwa ushoga ndo maana Kwa hapa Africa mashariki maeneo yalioathirika na tabia hii ni pwani kwakuwa waarabu waliishi sana enzi na enzi wanafukua na kufukuliwa mitaro maeneo ya kunduchi
Mbwa Kama wewe ukatwe kichwa tuUmepigwa kitu kizito kwa head ndio mana unaropoka tu..jibu swali mtakata vichwa wangapi ili kumaliza tatizo.
Usijekuta hata wewe ndio wataanza kukufyeka kichwa chako kwa umende.
#MaendeleoHayanaChama
Ooh sawa😃Well ulisema niko "sahihi sana" lakini mimi nilitambua kuwa niko sahihi tangu siku nazaliwa.
You got it?
Hata kwa kubunduki hawezi kupita hapa.
Hicho ndicho mnachokaririshwa huko..hamna uwezo wa kujibu hoja zaidi ya matusi..no wonder mnaakili ndogo sana..hususani wewe ni kielelezo na mfano kwa wenzio.Mbwa Kama wewe ukatwe kichwa tu
Wanafanya Mambo ya ajabu mengi sana, lakini kila siku kutusema vibaya wagalatiaWaswalio siku ya ijumaa ndo wanao ongoza kwenye ushoga, hata mashoga wanaokamatwa wengi utasikia abdul, mohamed,
Machangu nao utasikia Zuwena, etc
AllahNani alimpa uimamu???
Allah
"A gay imam's story: 'The dialogue is open in Islam – 10 years ago it wasn't' | World Economic Forum" A gay imam's story: 'The dialogue is open in Islam – 10 years ago it wasn't'Uislamu hauwezi kuizima kwa vinyuzi vyenu uchwara kila kukicha mnatafuta nyuzi au habari zote negative kuhusu uislamu kwa nia ya kuleta mabishano yasiyo na msingi wakati sheria ziko wazi na zinabainisha vyema msimamo wa uislamu kuhusu swala hilo.
Bahati mbaya kwako mleta uzi watu wamezinduka na kuna wakristo wanaelewa vizuri mfano Kalunya na wengine hivyo wamegoma kuingia katika mtego wa uchonganishi unaotaka wewe ni kundi lako kama wakina jiwe angavu MK254 Azarel nk wameamua kuwapuuza ramsi na hii ndio dawa.
Kuna mazuri kibao waislamu na Uislamu unafanya lakini hujawi kupost mara nyingi wewe na kundi lako mna tabia za nzi kufuata mahali pachafu au kuharibika.View attachment 2306993
"A gay imam's story: 'The dialogue is open in Islam – 10 years ago it wasn't' | World Economic Forum" A gay imam's story: 'The dialogue is open in Islam – 10 years ago it wasn't'Nimesoma comments karibia nyingi ila nimegundua vijana wa upande wa kushoto wakisikia jina la kiislamu linahusiswa na ushoga kwao ni furaha kubwa na kejeli....ila wamesahau kuwa uchoko yan ushoga ni projects za wazungu yan wagalatia....Ndio maana sijawai kuona nchi yenye mlengwa wa kiislamu kupromote ushoga badala yake tunaona huko kwa wazungu kila siku wanafinance ushoga @
Pia itoshe kusema kwamba huo msikiti huko south kama ni kweli pia ni project ya wazungu kushawishi uma wa watu wapuuzi kama mtoa mada hapa na wenzake ambao wakiona jambo bila kulifanyia utafiti wanalichukua kama lilivyo na kuanzisha mada.
Note.Napenda kusema huo msikiti unafungisha ndoa za mashoga ni mpango mkakati wala hauna uhusiano na uislamu hizo projects za watu. ..kuhusu kuwa huyo ndio imamu wala isikutisheni anaweza kuchukuliwa mtu yeyote akavalishwa kanzu na akanasibishwa na uislamu....hizi ni propaganda za wazi wala haiitaji kuwa na phd ya havard kulijua hilo.......
Nawaasa ndugu katika jamiiforum sio kila kitu mnachokiona au kusikia ndio hicho .vingine ni mipango tu ya wakubwa.
Nakuambieni ndugu zangu kama uislamu usingekuwa ni dini ya kweli na ya haki mbele ya Allah tabaraka wataala ingekuwa ishakufa kwa hizi propaganda na fitna za watu wa magharibi........ila kwa kuwa ni dini ya kweli basi kupitia fitna na propaganda hizo hizo watu wenye kufikiri vizuri watapata ibra na mazingatio na matokeo yake wataingia katika dini......
Allah ndio mjuzi zaidi.
Walaumu Waislam wenzako. Hasira usiziweke kwetu wagalatiaUjumbe muhimu kwa waislamu wenzangu :ukiona mada zenye mlengo wa kukashifu uislamu achana nazo jibu panapokuwa na ulazima kama mtu akiendelea na analoshikilia achana nae bahati nzuri watu hao ID zao zinajulikana kwa hiyo njia bora ni kijiepusha nao View attachment 2307006
Wote mkiendelea kutukana mtahesabika hamna akili hivyo ni busara kupita mbali ataoona mwenyewe mada imedoda ataacha tu kwani huwezi kumlazimisha mtu akielekea kwenye ubishi.View attachment 2307012
Mtu ukishamjua ni hataki kuelewa yuko kutafuta ugomvi na anatumia lugha ya matusi ni bora kumuacha hatokudhiru kwa lolote Jagina Accumen Mo View attachment 2307016