Afrika Kusini: Imam Muhsin Hendricks Aanzisha Msikiti kwa ajili ya LGBT Muslims Duniani

Afrika Kusini: Imam Muhsin Hendricks Aanzisha Msikiti kwa ajili ya LGBT Muslims Duniani

Msikit kwanza haumilikiwi wala kuanzishwa na imam hao watu sio waislam ni propaganda na pia hakika ya muislam ni mtu ambaye anajizuia na maovu na pindi afanyapo basi hujificha si wazi wazi
Mmtafute mumukate kichwa.
 
Ushoga ktk mashariki ya kati ulianza enzi na enzi sasa nashangaa kama leo mtu anaongelea ushoga wa Ulaya tu wakati leo hii hata Tanzania mashoga ni wengi.

Hii ni dhambi tu kama dhambi nyingine ambayo haina mpaka na haibagui dini, kabila wala jinsia.

Biblia imeyasema haya kwamba ktk siku za mwisho dhambi zitaongezeka na ktk nchi za kiislamu hii dhambi haiwekwi wazi na inafichwa sana. Itakumbukwa kwamba walioleta mambo ya ushoga ktk Afrika Mashariki walikuwa ni waarabu wakati wakifanya biashara haramu ya utumwa.
Kwa sasa imekuwa hatari zaidi
 
Ukishaona mwanaume wa makamo kanyoa ndevu zote na mustachi usimuangalie mara mbili, PIGIA MSTARI
Huku mnakoenda mnavuka mipaka. yaani ina maana unataka kusema kila mwanaume mtu mzima aliyenyoa ndevu zote ni fala?

Hebu acha kugeneralize mambo ya kisenge na kunyoa ndevu kmmk. mtakuja kusema kila mwanaume asiyenyoa upala naye atakuwa fala, kuna mambo akifanya mwanaume yatatilia mashaka uanaume wake lakini sio kunyoa ndevu What TheFuck?
Dunia inazidi kupotea sababu kila mtu anaanza kumuhisi na kumpakazia mwenzake ni fala ili kujifariji kwamba yeye ni msafi na asidhaniwe yeye ni fala wakati unaweza kuishi na hawa wasenge na usiwajue. na unaweza kukuta mafala wanaita rijali mafala ili kujificha kwenye hicho kivuli na kuonekana safi kwenye jamii.

Mnavuka mipaka kmmk, KUNYOA NDEVU SERIOUSLY?
 
Una mtoto wa kiume?
Nikiwa nae itabadilisha nini? Sisapoti mtu kuwa shoga lkn siwezi kupoteza muda kupinga kitu ambacho hakuna mwenye uwezo wa kubadili.
Lea mtoto wako wa kiume vzr ili asiingie huko, ukifanikiwa ni jambo zuri .
Mungu mwenyewe kashindwa sembuse mimi?
 
Utakuwa neutral ukigundua mtoto wako wa kiume ni hasara?
 
Unadhani nitaweza kumrudisha kawaida ikitokea? Nimnyonge au nijinyonge? Nitasikitika lkn sitaweza kufanya chochote.
Utasikitika lakini hapohapo unasema uko neutral sasa hivi?
Mzazi kuwa neutral juu ya huu upuuzi ndio mwanzo wa kupoteza mtoto wake especially wa kiume.
 
Utasikitika lakini hapohapo unasema uko neutral sasa hivi?
Mzazi kuwa neutral juu ya huu upuuzi ndio mwanzo wa kupoteza mtoto wake especially wa kiume.
Nipo neutral kwenye kukemea yaani sioni sababu ya kupinga kitu kilichoshindikana, kama ni dhambi na Mungu yupo kama mnavyo amini basi tumwachie yeye, watawajibika kwake. Tunapoteza muda
 
Nipo neutral kwenye kukemea yaani sioni sababu ya kupinga kitu kilichoshindikana, kama ni dhambi na Mungu yupo kama mnavyo amini basi tumwachie yeye, watawajibika kwake. Tunapoteza muda

Itashindikana siku kila mtu akiacha kupinga huu ujinga.

Hawa mafala wanachofanya ni kuinfluence na kufanya hichi kitu kionekane kawaida madhara yake ni pale jamii na watoto wakianza kukubali na matokeo yake hadi watoto wako nao watakuwemo humo.

Na hiyo ndio maana ni muhimu kupinga ili watoto waone kwamba hichi kitu sio sahihi na kuokoa kizazi kijacho.
 
Anyway fukc it!
Sawa mkuu , upo sahihi sana.
 
Back
Top Bottom