Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Watu wanakurupuka tu!ICC? Urusi sio member wa ICC...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanakurupuka tu!ICC? Urusi sio member wa ICC...
Wana hela gani na jeshi gani wachovu wakubwaKinyume chake South Africa itamlinda kwa gharama zo zote!
Kapewa uwaziri baada ya ICC kukosa ushahidi kesi yake ilikuwa ICC kama ya Rutto Raisi wa sasa Kenya ushahidi ukakosekanaAcha uongo bemba si ndo juzi kapewa uwaziri wa ulinzi kongo
Hana hata habari anajisemea tu kinachomjia - hakuna taifa linalo jitambua linaweza kumchezea Rais wa taifa ambalo ni super power - uwezi kufananisha Putin na akina Ruto na Kenyatta - wewe hizi ndoto zako za mchana mpaka lini - hujifunzi kitu hata kidogo huna hata habari kwamba kauli za kusema kuna arrest warrant za kumkamat Putin ni politocal rhetoric tu hazina maana yoyote - FYI Putin anaweza kuhamua kwenda Merikani hata sasa hivi na Merikani ikakaa kimya bila ya kumugusa au kimfanya lolote - hizi ngonjera eti za kumtaka kumkamata Putin zimebuniwa na Merikani hili kupoteza lengo la kulipuliwa mabomba ya gesi ya Nord1&2 wanataka vyombo vya habari viachane na habari za Amerika kudaiwa kwamba ndiye muhusika mkuu wa hujuma hizo - hivyo kwa kupoteza lengo ndio wakaja na stori za Putin kishtakiwa ICC na cha ajabu ICC kuna sijui mjumbe wa Merikani taifa ambalo silo member wa taasisi hiyob- je, anafanya nini pale that os a million dollar question.ICC? Urusi sio member wa ICC...
Ingekuwa ya haki basi ilipochimbwa mkwara na trump pale ilipotaka kuchunguza na kujamata wanajeshi wa marekani kwa makosa ya kivita isingepiga kimya.Mahakama ya kimataifa ya ICC haitambui hizo titles zote wao wanamtambua kwa title moja tu wanamtambua kama mtu binafsi mhalifu wa kivita hayo ya raisi ni ya kwako
Walishindwa kumkamata Bashir mpaka alippondolewa madarakani ije kuwa Putin.Uingereza ujerumani na marekani&canada watume inter police na vikosi vingine maalumu kumkamata mbona rahisi tu? Wasimuangushie mzigo SA