Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC

Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC

Seriously mnashabikia huu ujinga kwamba Putin atakamatwa SA?
Over Qualified Nonsense.
 
Hawawezi kufanya hivyo, rejelea wakati Omar al-bashir wa sudan alivyotembelea Africa ya kusini wakati huwo kukiwa na tangazo la kumkamata na kufikishwa the hague, mbona hawakufanya hivyo? Putin atakuwa salama akiwa Africa ya kusini kwa sababu asingeweza kufanya ziara SA bila kuwa na uhakika wa usalama wake.
 
Africa ya Kusini ilishawahi kukataa kumkamata Al Bashir wa Sudan who is relatively weaker than Putin na ICC haikufanya kitu. Sasa sijui hao wanapata wapi mawazo ya kudhani kwamba SA itamkamata Putin? Wasahau. Wapambane kwanza na hali zao.
South Afrika waliigoma kumkama Omar Al Bashir WaSudan wenyewe wakamkamata na bunge likaidhinisha apelekwe ICC

Aliruka mkojo Soith Afrika akakanyaga mavi nchini kwake

Putin naye yaweza mkuta hayohayo
 
Hawawezi kufanya hivyo, rejelea wakati Omar al-bashir wa sudan alivyotembelea Africa ya kusini wakati huwo kukiwa na tangazo la kumkamata na kufikishwa the hague, mbona hawakufanya hivyo? Putin atakuwa salama akiwa Africa ya kusini kwa sababu asingeweza kufanya ziara SA bila kuwa na uhakika wa usalama wake.
PUTIN Hiyo ziara South Afrika hajafanya bado anatarajia kufanya mwezi August 2023
 
Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee...
Unafikiri Putin U. Kenyatta wenu?
 
Wapo kibao wako kibao

Yuko Joseph Kony ,yuko Bemba wa kongo,yuko kiongozi wa waasi wa M23 hadi leo kesi inaendelea ICC ,wako wahusika wa mauaji ya kimbari ya Rwanda

Wengi mno ambao wala sio maraisi kesi ziko ICC
Acha uongo bemba si ndo juzi kapewa uwaziri wa ulinzi kongo
 
ZA hawajawahi kutii amri ya ICC kama mnakumbuka Omar Alibashir alienda ZA na wala hawakumkamata,so msitegemee hilo.
 
Ndani ya miaka 23 hawa maraisi wa 3 wa Marekani (Clinton, Bush, Obama) walivamia nchi 9 tofauti duniani na kusababisha vifo vya watu zaidi ya milioni 11 wasio na hatia.

Na hakuna mahali ilisemwa kuwa ni war criminals wakashtakiwe ICC
View attachment 2564647
Wapumbavu sana wa america na kama kuna mtu hawajui vizuri hawa watu basi ni upinde huyo
 
South Afrika waliigoma kumkama Omar Al Bashir WaSudan wenyewe wakamkamata na bunge likaidhinisha apelekwe ICC

Aliruka mkojo Soith Afrika akakanyaga mavi nchini kwake

Putin naye yaweza mkuta hayohayo
Concept mbili tofauti. Tunaongelea nchi mwanachama kumkamata mtu anayetakiwa na ICC. Kwa case manake unatabiri Russia kuna siku itamkatama Putin na kumkabidhi kwa ICC. Russia sio mwanachama wa ICC. Sio signatory wa Roma Statue
 
Back
Top Bottom